Hii Mwiba game reserve iko wapi? Halafu sidhani kama hii taarifa ni sahihi.
Game reserve huwa zinatolewa kwa kampuni za uwindaji kwa kukodishwa na siyo kumiliki.
Kwa mfano Selou game reserve kuna hunting block zaidi ya 10 na eneo lingine Magufuli skaamuru lifanywe National park na liondolewe kuwa game reserve.
Asiyekuwa maana ya game reserve ni kwamba ni vitalu vya uwindaji, mmiliki ni serikali hakuna mwenye uwezo wa kuuza hizo game reserve, ukishindwa unarudisha serikalini au serikali ikiamuwa inachukuwa au Rais ana mamlaka ya kutangaza kuwa National park na shughuri za uwindaji zinakoma rasmi.
Bado Nina mashaka na taarifa hii haiko sawa.