Dan Friedkin mmiliki wa AS Roma anamiliki ardhi kubwa Tanzania, mamlaka zimchunguze

Dan Friedkin mmiliki wa AS Roma anamiliki ardhi kubwa Tanzania, mamlaka zimchunguze

Never again Rais wa Jamhuri atoke Zanzibar.

Hao hawana uzalendo kabisa.

Wanagawa mali za Tanganyika kama pipi.

Hawana madini Wala wanyama.

Tuwe makini nao.

kwanini unateseka na Zanzibar? 99.8% ya viongozi wa Serekali ni watanganyika usitake kusema kwamba mzanzibari kafanya hayo huku watanganyika wakiwa helpless.
 
Mwiba Game Reserve imekuwepo muda mrefu kabla hata ya awamu ya sita ila kama mtu mmoja tena ambaye sio raia anaweza kumilikishwa ekari 25,000 basi twafa.
Kuna watu walituuza kitambo ndio maana ni very powerful. Ukiona namna hii ujue kuna watu wanavuta 10% hadi vitukuu vyao.
 
Kwa nchi ambayo Raia kutwa nzima maada ni yanga na Simba sishangai, nchi ina raia wasio jitambua, kutwa nzima Yanga , Simba, wanaweza kuwa na muda wa kufuatulia mambo kama haya?
ili jambo ni ovyo kabisa, na mama samia ndio anaupa promo mpira vibaya sana ili msiichunguze serikali, kutwa nzima vilinge kijiweni kujadiri mpira.

na wanasiasa wanaakili sana ya kupumbaza raia ni mwendo wa ligi bampa to bampa na promo nyingi
 
U
Elewa pia hizi nchi za Afrika mashariki hasa tulizo pakana nazo tumezaana miaka mingi, ila hatujaungana

Kuzaana sio tatizo ni swala la waliozaliwa Tanganyika au Zanzibar kukana uraia wa nchi moja kwa mjibu wa katiba ya sasa,

Tanganyika ipewe maua yake au tukubali serikali moja ili kuleta usawa.

Ndani ya Muungano huu Watanganyika ni kama wakimbizi wakati Wazanzibar nikama wamiliki wa Tanzania nzima ,haikubaliki
Ukimchunguza sana hata huwezi kumla
 
Faida anaipata tena haraka tu chumba dollar elfu moja kwa siku. Cha chini sana dollar 550. Hujaweka mapato mengine mengine kama kukodisha helicopter, silaha, magari kupelekwa kuwaona Wamasai, Wadzabe nk.

Kila mnyama unayemuua ana gharama zake, mfano Tembo inawezekana unalipia milioni tano, kumuua na kupiga naye picha, Simba milioni kumi, Twiga milioni ishirini, Pundamilia milioni saba.

Tujue Kwanza ameuziwa na kukodisha Kwa kiasi gani na wengine wote wanaomiliki ardhi kubwa.

Hii ni kwa maslahi ya Taifa. Tujue tunafaidikaje na hizi dili.
Wanafaidika wachache sana,wenye madili yao
 
Wanafaidika wachache sana,wenye madili yao

Unajua tungekuwa makini, utalii unatutoa. Egypt, Morocco,Tunisia, Botswana, South Africa, Namibia mapato ya utalii yanasaidia nchi nzima. Kwetu hapa ni familia chache labda chini ya 100.

Vitu haviwekwi wazi, wakati hivi ni Mali za umma, za Watanzania wote.

Hizi chini ni top 10 game reserves Africa, duniani. Tatu zipo Tanzania. Zinawanufaisha vipi Watanzania?

Mwiba Wildlife Reserve, Serengeti
Mwiba_Lodge_game-drive

Mwiba is a privately managed game reserve that shares borders with Tanzania’s Ngorongoro Conservation Area and the Serengeti National Park. The Wildebeest Migration passes through Mwiba between about December and April, but the reserve’s natural springs attract an abundance of plains game and predators (especially leopards) throughout the year. Mwiba Lodge is an ultra-luxurious accommodation that’s nestled among gigantic boulders overlooking a rocky gorge of the Arugusinyai River, offering total freedom and exclusivity in the Serengeti.

Singita Grumeti Reserves, Serengeti​

Hillside-Suite-Singita-Sasakwa-Lodge-Dining-on-the-Deck-with-a-View.jpg

Consisting of two exceptional lodges and one incredible safari camp situated in a 14 000-hectare (350 000-acre) private concession, the Singita Grumeti Reserves share the Serengeti National Park’s western border. Located along an annual migratory corridor for huge herds of wildebeest and zebra, these reserves offer private safari experiences with high-density game viewing in an exclusive-use area almost double the size of New York City.
Highlights:
  • Luxurious accommodations with world-class amenities and service
  • Spot-lit evening game drives
  • Guided walking safaris
  • Community visits
Where to Stay:
Singita Sasakwa Lodge banner
SERENGETI, GRUMETI RESERVES, TANZANIA

Singita Sasakwa Lodge

From $2,100 per person sharing
Activities travellers enjoyed:
  • Biking
  • Bird watching
  • Game drives
  • Hot air ballooning
  • Specialist guides
  • Star gazing
  • Tennis

SERENGETI, GRUMETI RESERVES, TANZANIA

Singita Sabora Tented Camp

From $1,820 per person sharing with travellers.

Loliondo Concession, Serengeti


Perched on the edge of the Kuka Hills in a remote corner of the Serengeti National Park, Klein’s Camp boasts breath-taking views over the 10 000-hectare (24 700-acre) Loliondo Concession. The camp offers guests and exclusive Tanzania safari experience and old-fashioned luxury. Guests can explore the area on game drives and bush walks while enjoying excellent sightings of Africa’s iconic wildlife. Your chances of spotting lion, leopard and cheetah in this private reserve are excellent all year round.
 
Unajua tungekuwa makini, utalii unatutoa. Egypt, Morocco,Tunisia, Botswana, South Africa, Namibia mapato ya utalii yanasaidia nchi nzima. Kwetu hapa ni familia chache labda chini ya 100.

Vitu haviwekwi wazi, wakati hivi ni Mali za umma, za Watanzania wote.
Mpaka watokee mawaziri hata 10 ambao wanaumia na upigaji huenda tungefika mahali

Kuna nchi zingine kama Thailand na Egypt wanatumia mito kama njia ya usafirishaji wa matunda na mboga pia utalii
Sisi mito yetu inamilikiwa na Mamba na koboko na kila leo kitoweo chao ni sisi

Lini tutapata watu wenye maono na kufunguka kiakili?
 
Kwa nchi ambayo Raia kutwa nzima maada ni yanga na Simba sishangai, nchi ina raia wasio jitambua, kutwa nzima Yanga , Simba, wanaweza kuwa na muda wa kufuatulia mambo kama haya?

Uko sahihi kabisa, hata mimi nikiwa kiongozi kwenye hili nchi ya maiti hai, lazima niuze ardhi kwa wageni, hata ikibidi kwa bei ya kutupwa.
 
Mpaka watokee mawaziri hata 10 ambao wanaumia na upigaji huenda tungefika mahali

Kuna nchi zingine kama Thailand na Egypt wanatumia mito kama njia ya usafirishaji wa matunda na mboga pia utalii
Sisi mito yetu inamilikiwa na Mamba na koboko na kila leo kitoweo chao ni sisi

Lini tutapata watu wenye maono na kufunguka kiakili?
Inashangaza Sana Mito inapita sehemu nyingi za nchi maji yanaenda kumwanfika baharini.

Zingeweza kutatua changamoto za maji ya kunywa, kilimo cha umwagiliaji, usafiri, umeme.

Tunawapata baadaye, mfumo wa sasa ukibadilishwa.
 
kwanini unateseka na Zanzibar? 99.8% ya viongozi wa Serekali ni watanganyika usitake kusema kwamba mzanzibari kafanya hayo huku watanganyika wakiwa helpless.
You can imagine heka milioni sita anapewa mtu mmoja.

Hii hapana aisee.

Huku ni kubinafsisha nchi.

Huyu Rais asiruhusiwe kufanya mambo ya aibu namna hii.

Totally unacceptable.
 
Ila wabongo wengi tunapenda kujadili mambo kwa mihemuko, bila kujipa mida wa kutafuta taarifa sahihi.

Hii hoja imeletwa hapa kila mtu analaumu na kuonyesha rasilimali zinaibiwa na blah blah nyingi.

Mwiba Lodge imekuwepo zaidi ya miaka 10 sasa. Na kama mngejua hilo eneo lilivyo kuwa before na after huyu jamaa na manufaa yanayopatikana pale msingeongea hayo.
 
Na declare interest. Friedkin ni wateja wangu pale Arusha wana mikiki ekari 648 tu tangu 1960s acheni uchawi humu.
 
Na wewe unaamini kwamba mtu kamilikishwa game reserve?

Msichokijuwa hilo lingekuwa linawezekana Rostam Aziz ndio angemiliki game reserve kubwa maana ana kampuni ya uwindaji inaitwa Miombo Safari ipo Masaki inasimamiwa na Mdogo wake na Mzungu mmoja anaitwa Michelle
Naamini yes
Setikali ya CCM ni ya wafanya maamuzi wachache.

Loliondo ni UAE territory now....
 
Kwa mawazo humu nathibitisha watanzania wengi ni wachawi wanaostahili kufa. Na wafe tuu.
 
Amekodi ardhi tu miaka ikiisha anaachia ama anaendelea, na kama madini yapo haruhusiwi kuchimba.

Madini ya Tanzania yanatawaliwa na Sheria ya madini ya mwaka 2017.

Hata nyumbani kwako ambako unayo Title Deed, ukikuta dhahabu ni mali ya Serikali. Ila wakikuta bangi ni mali yako
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom