Dan Friedkin mmiliki wa AS Roma anamiliki ardhi kubwa Tanzania, mamlaka zimchunguze

Dan Friedkin mmiliki wa AS Roma anamiliki ardhi kubwa Tanzania, mamlaka zimchunguze

Adui wa taifa na uzalendo
Screenshot_20230505-110818_Google.jpg
 
shida n kwamba wenye nchi tuko tunakimbizana na mechi za mpira, mambo ya kuigiza tu bila kujua kuwa tunaliwa huku tuko kimya tubaki kuwa waoga wa nchi yetu yaani mambo mparaganyiko tu
Umefanya tafiti na kupata wangapi wanaopenda mpira na mambo ya kuigiza kuwa na kwenye masuala ya nchi hawako makini?!!!

Je ni watanzania wangapi wanafuatilia mpira na hayo maigizo usemayo ?!!!

#SiempreJMT[emoji120]
 
Tunataka Tanganyika yetu kwanza , zanzibar ikijitenga na Tanganyika sio shida kabisa , serikali tatu au 1 hazikwepeki kama tunataka kwenda sawa , vinginevyo kila nchi ibebe hamsini zake
Sio rahisi kama unavodhani ,usisahau tumezaana watanganyika na wazanzibar kwa miaka mingi sana,ngumu na ndo maana kero za muungano zipo na zitaendelea kuwepo
 
Ni unafiki kuukata uraia pacha ilhali tunaruhusu mgeni kuja kumiliki ardhi ambayo tunajua kikatiba haruhusiwi
Na siku tutakapouacha huo unafiki wa kukataa uraia pacha Nina uhakika kuna sehemu nzuri nchi itafikia kimaendeleo
Sawa.....

Kuendelea kufanya tafakuri kuhusu uraia pacha ni jambo la muhimu sana....

Mkuu si uongo....uraia pacha ni kitisho kwa masuala ya USALAMA....

Wenzetu wameweka uraia pacha pia kwa ajili ya FAIDA ZA HABARI KWA UPANDE WAO.....

Tusisahau mataifa mengi yenye uraia pacha yameendelea pakubwa na yana fedha nyingi....na huitumia Fedha yao kupata chochote kupitia haohao wenye uraia pacha.....

#SiempreJMT[emoji120]
 
Hakufuata utaratibu ?!!!

Tuache kupayuka hovyo......hata raia hawezi tu kujimilikisha/kumilikishwa ardhi kubwa kinyume na utaratibu.....akifuata utaratibu huwa hakuna KOSA.....

Nchi yetu iko makini mno katika mambo yahusuyo ardhi......

#SiempreJMT[emoji120]
Handsome boy CBE umerudi tena??
 
Sio rahisi kama unavodhani ,usisahau tumezaana watanganyika na wazanzibar kwa miaka mingi sana,ngumu na ndo maana kero za muungano zipo
Elewa pia hizi nchi za Afrika mashariki hasa tulizo pakana nazo tumezaana miaka mingi, ila hatujaungana

Kuzaana sio tatizo ni swala la waliozaliwa Tanganyika au Zanzibar kukana uraia wa nchi moja kwa mjibu wa katiba ya sasa,

Tanganyika ipewe maua yake au tukubali serikali moja ili kuleta usawa.

Ndani ya Muungano huu Watanganyika ni kama wakimbizi wakati Wazanzibar nikama wamiliki wa Tanzania nzima ,haikubaliki
 
Never again Rais wa Jamhuri atoke Zanzibar.

Hao hawana uzalendo kabisa.

Wanagawa mali za Tanganyika kama pipi.

Hawana madini Wala wanyama.

Tuwe makini nao.
Kwani yupi anayemng’ang’ania mwenzie 😅😅🙏🙏. ??!!
 
Heka milion 6? si wilaya kabisa au typ error
Ni kama nusu ya nchi ya Rwanda. Za kwake binafsi ni ekari 125,000 siyo ekari 25,000. Hizo milioni sita ndio amekodi.

Kuna mwingine anaitwa Tudor Jones naye anamiliki Ekari kama laki tatu na nusu kwa ajili ya kuwinda na kuua wanyama in private.

Ukijumlisha na zike zinazomilikiwa na UAE, Oman, Saudi Arabia na wengine sidhani kama kuna ardhi imebaki ya kutosha kwa Wamasai, Wahadzabe.

Soma hapa
Dan Friedkin, who leases four million acres in different parts of Tanzania. That is more than 11 times bigger than Tudor Jones’ land, or one-half the size of Rwanda.

That’s because Friedkin’s millions of acres stretch as far as the eye can see, to the eastern border of the Ngorongoro Conservation Area, while his northern boundary is contiguous with Serengeti National Park. The wildlife in this critical migration corridor include the seasonal movement of up to two million wildebeests and is both accessible and has iconic appeal.

Singita Grumeti, a 350,000-acrrs hunting block leased by American hedge-funder Paul Tudor Jones.


Friedkin Conservation Fund own 125,000 acres of pristine land in the East African country of Tanzania. The family also leases six million acres of land across Tanzania for conservation.

 
Wa Tanzania hawana mitaji, na jingine wenye mitaji Tanzania wanapenda kuwekeza kwenye short term projects, kama kununua ma basi kujenga guest, kijenga bar malori nk. Ila huyu anawekeza faida anaipata baada ya miaka 50 au 100.
Faida anaipata tena haraka tu chumba dollar elfu moja kwa siku. Cha chini sana dollar 550. Hujaweka mapato mengine mengine kama kukodisha helicopter, silaha, magari kupelekwa kuwaona Wamasai, Wadzabe nk.

Kila mnyama unayemuua ana gharama zake, mfano Tembo inawezekana unalipia milioni tano, kumuua na kupiga naye picha, Simba milioni kumi, Twiga milioni ishirini, Pundamilia milioni saba.

Tujue Kwanza ameuziwa na kukodisha Kwa kiasi gani na wengine wote wanaomiliki ardhi kubwa.

Hii ni kwa maslahi ya Taifa. Tujue tunafaidikaje na hizi dili.
 
Back
Top Bottom