BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
- Thread starter
-
- #21
Ni 99 ,sheria isha badilika, wawekezaji hipewa aridhi kwa miaka 99Ni kweli Loliondo inamilikiwa na wageni kwa ajili ya uwekezaji kwa muda mrefu na inatokana na mapungufu ya sheria yetu kutoweka fixed term hivyo walitumia weakness ya sheria yetu wakamilikishwa kwa muda mrefu nasikia ni miaka 50 au zaidi sina uhakika na terms.
Kama itakuwa hivyo basi kuna tatizo kubwa inabidi tuziangalie sheria zetu upya may be kuna loophole inabidi tuzizibe mapema kabla hatujaumia zaidi.Sheri ipi? Hawa wanakodishiwa kwa miaka 99, huyu amebakiza miaka kama 98 na hio aridhi, ndio maana na yeye ana kodisha au kubinasifisha tena kwa pesa ndefu kuliko alivyo kodishiwa yeye
Uwe unasoma vizuri hoja jadiliwa usinengue. Unaposema hatutarudia makosa kuwapa wazanibat uongozi wa juu wa nchi wakati wao ni sehemu ya muungano unaonekana kama mpuuzi hivi! Kwamba zanzibar hakuna madini ni ujuha na upuuzi ukiokithir!Sasa Zanzibar imeingiaje hapa tena?
Katiba mpya ni muhimu kuliko wakati wowote.Never again Rais wa Jamhuri atoke Zanzibar.
Hao hawana uzalendo kabisa.
Wanagawa mali za Tanganyika kama pipi.
Hawana madini Wala wanyama.
Tuwe makini nao.
Ngoja nitafanya research ya sheria kama imebadirika kiasi hicho mimi nilivyokuwa nafahamu wawekezaji wanapata ardhi kupitia sheria ya uwekezaji na wala si chini ya sheria ya ardhi.Ni 99 ,sheria isha badilika, wawekezaji hipewa aridhi kwa miaka 99
ninavyo jua na mimi ni miaka 99Ngoja nitafanya research ya sheria kama imebadirika kiasi hicho mimi nilivyokuwa nafahamu wawekezaji wanapata ardhi kupitia sheria ya uwekezaji na wala si chini ya sheria ya ardhi.
Mbona kwenye mada hapo juu sioni hayo maneno? Ya kwamba " hatutarudia makosa kuwapa wazanzibar uongozi wa juu wa nchi" Au yamefutwa?Uwe unasoma vizuri hoja jadiliwa usinengue. Unaposema hatutarudia makosa kuwapa wazanibat uongozi wa juu wa nchi wakati wao ni sehemu ya muungano unaonekana kama mpuuzi hivi! Kwamba zanzibar hakuna madini ni ujuha na upuuzi ukiokithir!
Mbona mukiambiwa tubadili Katiba mnasema wananchi hawali katiba? Sasa haya sindiyo matokeo ya katiba mnayoipenda? Kwani SSH au MWINYI Walijisimika?
Acheni kuleta hoja za kinafki kisa mpo nje ya ulaji hapo lumumba
Mnajidai kutetea maslahi ya watanzania leo? Mbona mlitumia mpaka fedha za walipa kodi kununua wabunge wa upinzani?
Uwe unasoma vizuri hoja jadiliwa usinengue. Unaposema hatutarudia makosa kuwapa wazanibat uongozi wa juu wa nchi wakati wao ni sehemu ya muungano unaonekana kama mpuuzi hivi! Kwamba zanzibar hakuna madini ni ujuha na upuuzi ukiokithir!Sasa Zanzibar imeingiaje hapa tena?
Kwa mwekezaji au?ninavyo jua na mimi ni miaka 99
Hii ni replay ya comment ya strokeMbona kwenye mada hapo juu sioni hayo maneno? Ya kwamba " hatutarudia makosa kuwapa wazanzibar uongozi wa juu wa nchi" Au yamefutwa?
Utakuwa na matatizo ya akili au uko bar unalewa!!?Uwe unasoma vizuri hoja jadiliwa usinengue. Unaposema hatutarudia makosa kuwapa wazanibat uongozi wa juu wa nchi wakati wao ni sehemu ya muungano unaonekana kama mpuuzi hivi! Kwamba zanzibar hakuna madini ni ujuha na upuuzi ukiokithir!
Mbona mukiambiwa tubadili Katiba mnasema wananchi hawali katiba? Sasa haya sindiyo matokeo ya katiba mnayoipenda? Kwani SSH au MWINYI Walijisimika?
Acheni kuleta hoja za kinafki kisa mpo nje ya ulaji hapo lumumba
Mnajidai kutetea maslahi ya watanzania leo? Mbona mlitumia mpaka fedha za walipa kodi kununua wabunge wa upinzani?
Iko wapi? Mbona ume mquote mleta maada?Hii ni replay ya comment ya stroke
hahahaha,kama wanamiliki ,kwann ushangae kwa huyu?Ni kweli Loliondo inamilikiwa na wageni kwa ajili ya uwekezaji kwa muda mrefu na inatokana na mapungufu ya sheria yetu kutoweka fixed term hivyo walitumia weakness ya sheria yetu wakamilikishwa kwa muda mrefu nasikia ni miaka 50 au zaidi sina uhakika na terms.
Du aisee watu kama hawa Mzee aliwala vichwaHawa wanaweza kuwa ndio wale wafadhili wa Royol tour ambao tulifichwa , sasa wanapewa mapande ya aridhi, na wana binasifisha, fikiria Mzungu ana binasifisha Aridhi ya Umma.View attachment 2610183
Unauhakika na unlichoongea mkuu, kuna mwanamziki wa congo ana nyumba ya orofa sio moja ndani ya jiji, kuna mwingine alileta kisa hapa amejenga na keshamisha familia yake nzima kuja tzNafikiri ni wawekezaji tu sidhani kama ni wamiliki wa ardhi hiyo kwa kuwa sheria yetu ya ardhi bado hairuhusu ardhi kumilikiwa na mgeni bali mwekezaji tu kwa masharti.
Najua kuna mabadiriko kwenye sheria ya uwekezaji ili kutatua matatizo hayo unless kama kuna mchezo ulichezwa tena sj unajua tena Bongo country!!?hahahaha,kama wanamiliki ,kwann ushangae kwa huyu?
sasa jamaa analasimisha hukoNajua kuna mabadiriko kwenye sheria ya uwekezaji ili kutatua matatizo hayo unless kama kuna mchezo ulichezwa tena sj unajua tena Bongo country!!?
Sijakataa mtu kwenda kinyume na sheria lakini ikigundulika ananyang'wa mara moja nafikiri unakumbuka yule mhindi ambaye ailigundulika alikuwa na uraia wa UK alinyang'anywa ardhi huko Mwanza.Unauhakika na unlichoongea mkuu, kuna mwanamziki wa congo ana nyumba ya orofa sio moja ndani ya jiji, kuna mwingine alileta kisa hapa amejenga na keshamisha familia yake nzima kuja tz
Okaysasa jamaa analasimisha huko