Danadana dhamana ya Dkt. Slaa; Wakili Madeleka ampongeza DPP kwa kutumia Sheria vibaya kukandamiza Watu

Huna tofauti na mchawi ,
roho mbaya inayolitesa bara la Africa kwa umaskini
Slaa alivyokua akiharibu vibaya kabisa heshima ya Mbowe mliona raha sio?? Natamani nimsokomezee kijinga cha moto mjaaluta yule!
 
Nasikia raha mno na ya ajabu Slaa anavyoteseka…. Leo nachinja jogoo langu bado Lissu!
Slaa ameipigania sana hii nchi. Kelele zake kuhusu bandari, misitu, Ngorongoro kuuzwa zilisaidia kupunguza kasi ya hawa wahuni kuuza nchi. Ndiyo maana anakomolewa na kuteswa sasa. Ndio sababu ya kuvuliwa ubalozi.

Alikuja na list ya mafisadi papa kuwataja hadharani ilisaidia kupunguza ufisadi. Ndiye aliyewalea vijana wengi tu Chadema. Mchango wake ni mkubwa Chadema na Tanzania kwa ujumla.

Ndiye aliyekuwa na intellectual brain ya sera za Chadema kupinga ufisadi iliyowapatia umaarufu mkubwa. Bila mchango wake ingechukua miaka mingi Chadema kufika illipofika.

Kwanini usikie raha mzalendo kama huyu kuteswa?
 
Nchi ya kipumbavu sana. Halafu utakuta viongozi wanaofanya huu upumbavu leo wapo misikitini na kesho/keshokutwa wamejaa makanisani. Umbwa kabisa. Acha Trump atubane labda tutapata akili ya kuwang'oa.
We ulimtuma kwenda kuongea ule upuuzi kwenye online Tv
 
Nimeota malaika wa BWANA akiniambia hivi:

"Aliyeshauri Dr. Slaa avuke January 2025 akiwa ndani rumande, kinyume na haki, hatofika Feɓruary 2025 asema BWANA wa majeshi."

My take:
Huwa namwona Dr. Slaa kama msaliti, na simfagilii kivile yaani lakini sijui kwa nini malaika wa BWANA kaniambia hivi katika ndoto. Huwa nikiota hivi lazima itokee.

Mkiona Dr. Slaa hajaachiwa leo hii 31 Januari 2025, basi Februari 1, Saa sita na sekunde 1 usiku huu tunaamka na msiba mzito. "Aliyeshauri" na sijui ni nani wala sijui cheo chake. RIP in advance.
 
Amen.

Na iwe hivyo kama maono ya ndoto yako yanavyoonesha.
 
Nimeota malaika wa BWANA akiniambia hivi:

"Aliyeshauri Dr. Slaa avuke January 2025 akiwa ndani rumande, kinyume na haki, hatofika Feɓruary 2025 asema BWANA wa majeshi."

My take:
Huwa namwona Dr. Slaa kama msaliti, na simfagilii kivile yaani lakini sijui kwa nini malaika wa BWANA kaniambia hivi katika ndoto. Huwa nikiota hivi lazima itokee.

Mkiona Dr. Slaa hajaachiwa leo hii 31 Januari 2025, basi Februari 1, Saa sita na sekunde 1 usiku huu tunaamka na msiba mzito. "Aliyeshauri" na sijui ni nani wala sijui cheo chake. RIP in advance.
R.I.p in advance mkubwa asiyejulikana jina
 
Huyu Dr Slaa huwa unamwona msaliti kwa namna gani..?

Amewahi kukusaliti ktk nini? Au kamsaliti nani ktk nini na kwa namna gani..?

Au ufahamu na mtazamo wako wa "kijinga" tu juu ya misimamo na masmuzi binafsi ya Dr Slaa kwako wewe ndio unauita usaliti...?

Angekuwa msaliti anayestahili kupata malipo na adhabu ya usaliti, huyo Mungu angewezaje kukuonesha maono ya ukombozi wake...?
 
Mbona umepaniki sana?

Hujui usaliti wa Dr Slaa wewe? Au mahaba yamekuzidi
 
Nimeota malaika wa BWANA akiniambia hivi:

"Aliyeshauri Dr. Slaa avuke January 2025 akiwa ndani rumande, kinyume na haki, hatofika Feɓruary 2025 asema BWANA wa majeshi."

My take:
Huwa namwona Dr. Slaa kama msaliti, na simfagilii kivile yaani lakini sijui kwa nini malaika wa BWANA kaniambia hivi katika ndoto. Huwa nikiota hivi lazima itokee.

Mkiona Dr. Slaa hajaachiwa leo hii 31 Januari 2025, basi Februari 1, Saa sita na sekunde 1 usiku huu tunaamka na msiba mzito. "Aliyeshauri" na sijui ni nani wala sijui cheo chake. RIP in advance.
Mmmmh.... tuwaombee heri viongozi wetu
 
Back
Top Bottom