Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Inaendeshwa kwa Maelekezo toka mamalaka ya Juu, ni uhuuni tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo nimeamini yanayosemwa na baadhi ya wanajukwaa kuwa wewe ni "jamvi" la FAM!!Slaa kumtweza na Kumbagaza Mbowe ni haki yake?? Ingekua mimi ningemsokomeza kabisa kijinga cha moto mzee baradhuli sana yule.
Madeleka unafanya utani mwingi hauna maana.. Haya ni maisha ya mtu! Why maridhiano wakati ni haki ya Dr Slaa? Tumieni Taasisi kama haki za binadamu Amnesty International.
Maridhiano ni kutengeneza njia za rushwa.
Punguza ujuaji fanya kazi
Umeanza kulewa sifa za burebure!
Rudini mahakamani!
CCM ndio msingi wa matatizo haya.Tumeona kesi nyingi kama hizo hapo mwanzo ambapo kisheria mtu anashikiriwa kwa kuvunja sheria flani na wanao mshikiria nao wanavunja sheria hiyo hiyo kwa kutotoa dhamana kwenye kesi ambayo inadhamana kisheria unakuta hata wanajaribu kutafuta visingizio visingizio ili kuendelea kuwanyanyasa watanzania maskini mara sijui gari bovu, sijui nini hii ni dalili ya rushwa kwenye hizi kesi ni za kihuni.
ni wazi hapa kwenye hizi kesi zinazoendelea kwenye nchi yetu ni za kihuni hii haileti picha nzuri hapana tunahitaji madaliko.
Slaa aache mdomo mchafuTumeona kesi nyingi kama hizo hapo mwanzo ambapo kisheria mtu anashikiriwa kwa kuvunja sheria flani na wanao mshikiria nao wanavunja sheria hiyo hiyo kwa kutotoa dhamana kwenye kesi ambayo inadhamana kisheria unakuta hata wanajaribu kutafuta visingizio visingizio ili kuendelea kuwanyanyasa watanzania maskini mara sijui gari bovu, sijui nini hii ni dalili ya rushwa kwenye hizi kesi ni za kihuni.
ni wazi hapa kwenye hizi kesi zinazoendelea kwenye nchi yetu ni za kihuni hii haileti picha nzuri hapana tunahitaji madaliko.
AmenNimeota malaika wa BWANA akiniambia hivi:
"Aliyeshauri Dr. Slaa avuke January 2025 akiwa ndani rumande, kinyume na haki, hatofika Feɓruary 2025 asema BWANA wa majeshi."
My take:
Huwa namwona Dr. Slaa kama msaliti, na simfagilii kivile yaani lakini sijui kwa nini malaika wa BWANA kaniambia hivi katika ndoto. Huwa nikiota hivi lazima itokee.
Mkiona Dr. Slaa hajaachiwa leo hii 31 Januari 2025, basi Februari 1, Saa sita na sekunde 1 usiku huu tunaamka na msiba mzito. "Aliyeshauri" na sijui ni nani wala sijui cheo chake. RIP in advance.
Ni hivi, hakuna kuhama chama hata kama mmeshindwa.Mbowe kamdhalilisha nani? Watanzania mmejaa uchawi sana ndo maana mnafurahia tabia za kishenzi za akina Slaa na Lissu!! Huwezi. Kuwapakazia tu watu na kuvunja heshima zao kwa maslahi na tamaa tu binafsi!!
Kwa hatua ya rufaa ni wazi Slaa atanyea ndoo miaka 5 mbele ndo maana Madeleka kaomba Maridhiano….
Vipi kamanda huingii barabarani kwenda kumtoa maana Mbowe alikua lege lege sana!!
Na huyo Lissu akijichanganya tu watu watanyonya usaha ule uliojaa tumboni
CC Tindo
Anatakiwa asifie tu?Slaa aache mdomo mchafu
Kuna vitu vibaya ukivisema unanyooshewa kidole, eti humpendi nalilii ndio maana unasema mabaya juu ya hii nanilii yake anayoiongoza.
Mulipomuondoa mbowe chadema namuweka lissu tuliamini haya hayatokea tena. Lkn bado ya Mbowe ndio ya LissuKuna vitu vibaya ukivisema unanyooshewa kidole, eti humpendi nalilii ndio maana unasema mabaya juu ya hii nanilii yake anayoiongoza.
Tuna tatizo na justice system ya nchi hii, mimi nimeisha sema sana kwenye makala zangu za kilio cha haki
P
Binadamu anapo pata changamoto huamsha ubongo kukabiliana na changamoto anapofanya hivyo hukutana na ubunifu wewe ukidhani una mkomoa, kumbe amebuni kitu kukuzidi weweMADELEKA: NI AIBU MAGEREZA KUKOSA GARI LA KUBEBA WATUHUMIWA
DAR: Wakili Peter Madeleka akizungumzia kitendo cha Mwanasiasa Dkt. Wilbroad Slaa kukwama kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kueleza kuwa Jeshi la Magereza limeshindwa kumfikisha mshtakiwa huyo Mahakamani kwa madai kuwa kuna changamoto ya magari.
Hatua hiyo imekuja siku moja baada Mahakama Kuu Tanzania, Masijala Kuu Dar es Salaam kuagiza shauri linalomhusu Dkt. Slaa lirejeshwe Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwaajili ya kushughulikiwa kwa dhamana yake.
MADELEKA: NAMPONGEZA DPP KWA KUTUMIA SHERIA VIBAYA KUKANDAMIZA WATU
Wakili Peter Madeleka akizungumza na Wanahabari ametoa maoni kuhusu utendaji wa taasisi kadhaa ikiwemo utendaji wa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) pamoja na kumtaja Steven Wasira ambaye ni Makamu Mwenyekiti Bara.
Amesema hayo wakati akizungumzia mwendelezo wa Shauri la jinai Namba 993 ya Mwaka 2025 lililofunguliwa na Jamhuri dhidi ya Mwanasiasa Dkt. Wilbroad Slaa.
Pia soma ~ Dkt. Slaa ashindwa kufikishwa Mahakamani kutokana na changamoto za usafiri
Duuuu, ngoja tusubiri huu utabiri wako.Nimeota malaika wa BWANA akiniambia hivi:
"Aliyeshauri Dr. Slaa avuke January 2025 akiwa ndani rumande, kinyume na haki, hatofika Feɓruary 2025 asema BWANA wa majeshi."
My take:
Huwa namwona Dr. Slaa kama msaliti, na simfagilii kivile yaani lakini sijui kwa nini malaika wa BWANA kaniambia hivi katika ndoto. Huwa nikiota hivi lazima itokee.
Mkiona Dr. Slaa hajaachiwa leo hii 31 Januari 2025, basi Februari 1, Saa sita na sekunde 1 usiku huu tunaamka na msiba mzito. "Aliyeshauri" na sijui ni nani wala sijui cheo chake. RIP in advance.
Teh Teh teh hamuingii tena barabarani mmehamia kwenye ramli?Duuuu, ngoja tusubiri huu utabiri wako.
Tulia, uchaguzi umeisha na Mbowe kashindwa kihalali, hivyo hakuna kuhama chama. Hutaki jinyonge.Teh Teh teh hamuingii tena barabarani mmehamia kwenye ramli?
Unachekesha sana we kima!! CDM ni mama yangu? Vipi Slaa?Tulia, uchaguzi umeisha na Mbowe kashindwa kihalali, hivyo hakuna kuhama chama. Hutaki jinyonge.