Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anayewafanyia haya watu wengibe Mungu atamlaaniMADELEKA: NI AIBU MAGEREZA KUKOSA GARI LA KUBEBA WATUHUMIWA
DAR: Wakili Peter Madeleka akizungumzia kitendo cha Mwanasiasa Dkt. Wilbroad Slaa kukwama kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kueleza kuwa Jeshi la Magereza limeshindwa kumfikisha mshtakiwa huyo Mahakamani kwa madai kuwa kuna changamoto ya magari.
Hatua hiyo imekuja siku moja baada Mahakama Kuu Tanzania, Masijala Kuu Dar es Salaam kuagiza shauri linalomhusu Dkt. Slaa lirejeshwe Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwaajili ya kushughulikiwa kwa dhamana yake.
MADELEKA: NAMPONGEZA DPP KWA KUTUMIA SHERIA VIBAYA KUKANDAMIZA WATU
Wakili Peter Madeleka akizungumza na Wanahabari ametoa maoni kuhusu utendaji wa taasisi kadhaa ikiwemo utendaji wa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) pamoja na kumtaja Steven Wasira ambaye ni Makamu Mwenyekiti Bara.
Amesema hayo wakati akizungumzia mwendelezo wa Shauri la jinai Namba 993 ya Mwaka 2025 lililofunguliwa na Jamhuri dhidi ya Mwanasiasa Dkt. Wilbroad Slaa.
Pia soma ~ Dkt. Slaa ashindwa kufikishwa Mahakamani kutokana na changamoto za usafiri
Kiongozi kutumia madaraka yake anavyotaka, anaumiza watu kwa kupenda, Tutamwombea Kwa Mungu shughulike nayeViongozi wa nchi yangu Tanzania nchi yangu unatupeleka wap sisi hatutaki kwenda huko
Nasema hivi, Mbowe kashindwa kihalali na hakuna kurudi ccm, labda usubiri hadi Mbowe akupe muongozo nini cha kufanya.Unachekesha sana we kima!! CDM ni mama yangu? Vipi Slaa?
Mtawala mwanamke asiye na HURUMA.MUNGU yupo na atatenda kwa wakati wake,Magufuli alifanya haya akaondolewa huruma leo hatunae,mjinga mwingine anafuata mlemle kama bata.Tumuachie MUNGU kwa sababu aliyoyasema Dr.Slaa ni ya uongo hivyo mbele za MUNGU anastahili kibaki mahabusi bila dhamana,daima MUNGU hukerwa na wenye kiburi dhidi ya maskini.Tuombe macho yetu na masikio yawe salama tushihudie hayo yajayo.MADELEKA: NI AIBU MAGEREZA KUKOSA GARI LA KUBEBA WATUHUMIWA
DAR: Wakili Peter Madeleka akizungumzia kitendo cha Mwanasiasa Dkt. Wilbroad Slaa kukwama kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kueleza kuwa Jeshi la Magereza limeshindwa kumfikisha mshtakiwa huyo Mahakamani kwa madai kuwa kuna changamoto ya magari.
Hatua hiyo imekuja siku moja baada Mahakama Kuu Tanzania, Masijala Kuu Dar es Salaam kuagiza shauri linalomhusu Dkt. Slaa lirejeshwe Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwaajili ya kushughulikiwa kwa dhamana yake.
MADELEKA: NAMPONGEZA DPP KWA KUTUMIA SHERIA VIBAYA KUKANDAMIZA WATU
Wakili Peter Madeleka akizungumza na Wanahabari ametoa maoni kuhusu utendaji wa taasisi kadhaa ikiwemo utendaji wa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) pamoja na kumtaja Steven Wasira ambaye ni Makamu Mwenyekiti Bara.
Amesema hayo wakati akizungumzia mwendelezo wa Shauri la jinai Namba 993 ya Mwaka 2025 lililofunguliwa na Jamhuri dhidi ya Mwanasiasa Dkt. Wilbroad Slaa.
Pia soma ~ Dkt. Slaa ashindwa kufikishwa Mahakamani kutokana na changamoto za usafiri
Sio kila ndoto ni maono ya YEYE, ndoto nyingine ni ndoto za shetani!. Mfano ndoto yako hii ni ramli tuu! Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!Nimeota malaika wa BWANA akiniambia hivi:
"Aliyeshauri Dr. Slaa avuke January 2025 akiwa ndani rumande, kinyume na haki, hatofika Feɓruary 2025 asema BWANA wa majeshi."
My take:
Mkiona Dr. Slaa hajaachiwa leo hii 31 Januari 2025, basi Februari 1, Saa sita na sekunde 1 usiku huu tunaamka na msiba mzito. "Aliyeshauri" na sijui ni nani wala sijui cheo chake. RIP in advance.
.Nimeota malaika wa BWANA akiniambia hivi:
"Aliyeshauri Dr. Slaa avuke January 2025 akiwa ndani rumande, kinyume na haki, hatofika Feɓruary 2025 asema BWANA wa majeshi."
My take:
Huwa namwona Dr. Slaa kama msaliti, na simfagilii kivile yaani lakini sijui kwa nini malaika wa BWANA kaniambia hivi katika ndoto. Huwa nikiota hivi lazima itokee.
Mkiona Dr. Slaa hajaachiwa leo hii 31 Januari 2025, basi Februari 1, Saa sita na sekunde 1 usiku huu tunaamka na msiba mzito. "Aliyeshauri" na sijui ni nani wala sijui cheo chake. RIP in advance.
Mpumbavu sheria zimekushinda unataka huruma.kwenyemitandao kapambane nahali yako wee.sio mwanasheria nikipanga tuuMADELEKA: NI AIBU MAGEREZA KUKOSA GARI LA KUBEBA WATUHUMIWA
DAR: Wakili Peter Madeleka akizungumzia kitendo cha Mwanasiasa Dkt. Wilbroad Slaa kukwama kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kueleza kuwa Jeshi la Magereza limeshindwa kumfikisha mshtakiwa huyo Mahakamani kwa madai kuwa kuna changamoto ya magari.
Hatua hiyo imekuja siku moja baada Mahakama Kuu Tanzania, Masijala Kuu Dar es Salaam kuagiza shauri linalomhusu Dkt. Slaa lirejeshwe Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwaajili ya kushughulikiwa kwa dhamana yake.
MADELEKA: NAMPONGEZA DPP KWA KUTUMIA SHERIA VIBAYA KUKANDAMIZA WATU
Wakili Peter Madeleka akizungumza na Wanahabari ametoa maoni kuhusu utendaji wa taasisi kadhaa ikiwemo utendaji wa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) pamoja na kumtaja Steven Wasira ambaye ni Makamu Mwenyekiti Bara.
Amesema hayo wakati akizungumzia mwendelezo wa Shauri la jinai Namba 993 ya Mwaka 2025 lililofunguliwa na Jamhuri dhidi ya Mwanasiasa Dkt. Wilbroad Slaa.
Pia soma ~ Dkt. Slaa ashindwa kufikishwa Mahakamani kutokana na changamoto za usafiri
MADELEKA: NI AIBU MAGEREZA KUKOSA GARI LA KUBEBA WATUHUMIWA

Uswahili mwingi utawala wa mama. Yaani wanaamua kumkomoa mzee wa watu kwa kua amegoma kua ccm japo katumikia nafasi ya ubalozi kwa uadilifu mkubwa. Sijui hawa vigogo wanafikiri ccm ni nini maana huenda tunadanganyika ni chama cha siasa wakati sio.MADELEKA: NI AIBU MAGEREZA KUKOSA GARI LA KUBEBA WATUHUMIWA
DAR: Wakili Peter Madeleka akizungumzia kitendo cha Mwanasiasa Dkt. Wilbroad Slaa kukwama kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kueleza kuwa Jeshi la Magereza limeshindwa kumfikisha mshtakiwa huyo Mahakamani kwa madai kuwa kuna changamoto ya magari.
Hatua hiyo imekuja siku moja baada Mahakama Kuu Tanzania, Masijala Kuu Dar es Salaam kuagiza shauri linalomhusu Dkt. Slaa lirejeshwe Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwaajili ya kushughulikiwa kwa dhamana yake.
MADELEKA: NAMPONGEZA DPP KWA KUTUMIA SHERIA VIBAYA KUKANDAMIZA WATU
Wakili Peter Madeleka akizungumza na Wanahabari ametoa maoni kuhusu utendaji wa taasisi kadhaa ikiwemo utendaji wa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) pamoja na kumtaja Steven Wasira ambaye ni Makamu Mwenyekiti Bara.
Amesema hayo wakati akizungumzia mwendelezo wa Shauri la jinai Namba 993 ya Mwaka 2025 lililofunguliwa na Jamhuri dhidi ya Mwanasiasa Dkt. Wilbroad Slaa.
Pia soma ~ Dkt. Slaa ashindwa kufikishwa Mahakamani kutokana na changamoto za usafiri
hiyo ni tabia ya masikini wa akili na mali,chuki ni mtaji kwake mafi kabisaNasikia raha mno na ya ajabu Slaa anavyoteseka…. Leo nachinja jogoo langu bado Lissu!
Kuna dogo alichoma picha ya Samia amepotea, Soka amepotea, Kiba ameuwawa. Uchunguzi, wowote haujatolewa hadharani.Hovi jwa mfano, na sisitiza kwa mfano ikitokea ikitokea kikatokea kitu kibaya kwa Mzee Silaa huko gerezani (Mungu epusha), hivi Mama Abdul atajisikiaje kwa maisha yake duniani...!?
Uswahili mwingi utawala wa mama. Yaani wanaamua kumkomoa mzee wa watu kwa kua amegoma kua ccm japo katumikia nafasi ya ubalozi kwa uadilifu mkubwa. Sijui hawa vigogo wanafikiri ccm ni nini maana huenda tunadanganyika ni chama cha siasa wakati sio.
Mbowe alipewa kesi ya ugaidi. Cha kushangaza alipotoka gerezani akaibukia ikulu na kubadilisha suti hukohuko. Baada ya hapo akaanza kumsifia na kumpa tuzo mama na akaja na sera yake ya maridhiano wakati bandari, misitu, ngorongoro, nchi inapigwa mnada.
Hapo ndipo alipopoteza credibility yake. Wakati yupo jela alipiganiwa na Watanzania wengi. Mchawi siyo Slaa. Mchawi wa mbowe ni jeuri na chawa wake walijiona walifikiri chama ni mali ya ukoo wa Ikaeli.