Danadana dhamana ya Dkt. Slaa; Wakili Madeleka ampongeza DPP kwa kutumia Sheria vibaya kukandamiza Watu

Slaa kumtweza na Kumbagaza Mbowe ni haki yake?? Ingekua mimi ningemsokomeza kabisa kijinga cha moto mzee baradhuli sana yule.
Leo nimeamini yanayosemwa na baadhi ya wanajukwaa kuwa wewe ni "jamvi" la FAM!!
Sio kwa chuki hizo dhidi ya demokrasia.
 
CCM ndio msingi wa matatizo haya.
 
Slaa aache mdomo mchafu
 
Amen
 
Ni hivi, hakuna kuhama chama hata kama mmeshindwa.
 
Kuna vitu vibaya ukivisema unanyooshewa kidole, eti humpendi nalilii ndio maana unasema mabaya juu ya hii nanilii yake anayoiongoza.
Tuna tatizo na justice system ya nchi hii, mimi nimeisha sema sana kwenye makala zangu za kilio cha haki
P
Mulipomuondoa mbowe chadema namuweka lissu tuliamini haya hayatokea tena. Lkn bado ya Mbowe ndio ya Lissu
 
Binadamu anapo pata changamoto huamsha ubongo kukabiliana na changamoto anapofanya hivyo hukutana na ubunifu wewe ukidhani una mkomoa, kumbe amebuni kitu kukuzidi wewe

Hitimisho binadamu ana akili sana lakini binadamu huyo huyo ni mvivu wa kufikiri, kumbe akili zake zinafanyakazi vizuri akipata changamoto
 
Duuuu, ngoja tusubiri huu utabiri wako.
 
Teh Teh teh hamuingii tena barabarani mmehamia kwenye ramli?
Tulia, uchaguzi umeisha na Mbowe kashindwa kihalali, hivyo hakuna kuhama chama. Hutaki jinyonge.
 
Tulia, uchaguzi umeisha na Mbowe kashindwa kihalali, hivyo hakuna kuhama chama. Hutaki jinyonge.
Unachekesha sana we kima!! CDM ni mama yangu? Vipi Slaa?
 

Attachments

  • IMG_1416.jpeg
    1.4 MB · Views: 2
Bila wananchi kuungana na kuuondoa utawala huu ,hakuna aliesalama , ni utawala ambao umejaa kiburi , ukandamizaji, nilazima uondoke kama uchaguzi ukifanyika , hawa machawa wa ccm wasifikili na wao wapo salama chini ya itawala huu ,wanatumiwa tu , ipo siku utwarudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…