Danadana dhamana ya Dkt. Slaa; Wakili Madeleka ampongeza DPP kwa kutumia Sheria vibaya kukandamiza Watu

sasa wasira anahusikaje na mambo ya mahakama Kwan mihimili inaingiliana au nawewe ubongo wako ushaingia kwenye mfumo elekezi, em simamia haki ikishindikana bas hatuna muda wa kujikomba Kwa ccm watavimba vichwa kujiona kumbe wako juu ya sheria
 
Anayewafanyia haya watu wengibe Mungu atamlaani
 
Viongozi wa nchi yangu Tanzania nchi yangu unatupeleka wap sisi hatutaki kwenda huko
Kiongozi kutumia madaraka yake anavyotaka, anaumiza watu kwa kupenda, Tutamwombea Kwa Mungu shughulike naye
 
Unachekesha sana we kima!! CDM ni mama yangu? Vipi Slaa?
Nasema hivi, Mbowe kashindwa kihalali na hakuna kurudi ccm, labda usubiri hadi Mbowe akupe muongozo nini cha kufanya.
 
Mtawala mwanamke asiye na HURUMA.MUNGU yupo na atatenda kwa wakati wake,Magufuli alifanya haya akaondolewa huruma leo hatunae,mjinga mwingine anafuata mlemle kama bata.Tumuachie MUNGU kwa sababu aliyoyasema Dr.Slaa ni ya uongo hivyo mbele za MUNGU anastahili kibaki mahabusi bila dhamana,daima MUNGU hukerwa na wenye kiburi dhidi ya maskini.Tuombe macho yetu na masikio yawe salama tushihudie hayo yajayo.
 
Sio kila ndoto ni maono ya YEYE, ndoto nyingine ni ndoto za shetani!. Mfano ndoto yako hii ni ramli tuu! Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!
P
 
.
 
Mpumbavu sheria zimekushinda unataka huruma.kwenyemitandao kapambane nahali yako wee.sio mwanasheria nikipanga tuu
 

Hovi jwa mfano, na sisitiza kwa mfano ikitokea ikitokea kikatokea kitu kibaya kwa Mzee Silaa huko gerezani (Mungu epusha), hivi Mama Abdul atajisikiaje kwa maisha yake duniani...!?
 
Uswahili mwingi utawala wa mama. Yaani wanaamua kumkomoa mzee wa watu kwa kua amegoma kua ccm japo katumikia nafasi ya ubalozi kwa uadilifu mkubwa. Sijui hawa vigogo wanafikiri ccm ni nini maana huenda tunadanganyika ni chama cha siasa wakati sio.
 
Nasikia raha mno na ya ajabu Slaa anavyoteseka…. Leo nachinja jogoo langu bado Lissu!
hiyo ni tabia ya masikini wa akili na mali,chuki ni mtaji kwake mafi kabisa
 
Hovi jwa mfano, na sisitiza kwa mfano ikitokea ikitokea kikatokea kitu kibaya kwa Mzee Silaa huko gerezani (Mungu epusha), hivi Mama Abdul atajisikiaje kwa maisha yake duniani...!?
Kuna dogo alichoma picha ya Samia amepotea, Soka amepotea, Kiba ameuwawa. Uchunguzi, wowote haujatolewa hadharani.

Atakuwa anajisikia vizuri tu. Alishasema kifo ni kifo tu.
 
Uswahili mwingi utawala wa mama. Yaani wanaamua kumkomoa mzee wa watu kwa kua amegoma kua ccm japo katumikia nafasi ya ubalozi kwa uadilifu mkubwa. Sijui hawa vigogo wanafikiri ccm ni nini maana huenda tunadanganyika ni chama cha siasa wakati sio.

Ukitoa mahaba, unufaikaji na mfumo. Mfumo wa CCM ni kama Mafia in organisation. Mafia kama CCM wapo pale kulinda viongozi wa CCM na maslahi ya CCM. Wakitumia enforcers kama polisi, usalama, vyombo vya dola.

Wote wanatumia, propaganda kama za Wassira, mabavu, ubabe kama kuteka, kuua, kuweka watu magerezani, kutimua na kuua wenye nia ya dhati kusaidia wananchi. Viongozi wanaweza kufanya chochote bila consequences sababu vyombo vyote vya serikali vipo chini yao.

Ukitaka mfano wa Mafia wakichukua nchi itakuwaje. Angalia Tanzania kwa sasa.
 
 
Kwasasa sheria na haki katika hii inchi ni kakakuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…