Sijahukumu kwamba haiwezekani yeye kumiliki kihalali hayo mambo, Ila inatia mashaka.Nimetoa mfano hapo juu, kibongobongo top artist Diamond platnumz aliwagi kusema haperfom bila milioni 60, na huyo ni top artist, sembuse dancers wa show? Au hata akiperform kama artist, sanasana atalipwa milioni 5, Labda kama ataperform huko Grammy, Superbowl au BET ndiyo angeweza kulipwa hiyo bilioni kadhaa, jambo ambalo sidhani kama amewahi kufanya. Range moja new edition si chini ya mil 200, Je, unahitaji show ngapi ili uweze kumiliki range? Achilia mbali magari mengine ya kifahari, majumba n.k Ndiyo maana nasema inatia mashaka mno.