Jamaa anapiga mkwanjwa wa shows na endorsement ,ingekuwa ana safari za BONDENI tungesema MAPOOOODAAA ila haendi BONDENI siku hizi.
Muziki unalipa ukitoboa,jamaa anaokota pesa nyingi sana kwenye shows ,ijumaa hadi j2 anapiga shows hadi 6 na show moja ni 5m hadi 7m.....Means kwa Mwezi anamake around 150m hapo ni shows tu ,halafu kila mwezi analamba hela za endorsements ,hiyo nyumba siyo yake ,kununua makochi na TVs za ndani na hayo MAPIRA anaweza vizuri tu.
Hizo Range zake hazizidi 80 kwa hizo mbili ni akijibana miezi mitatu ananunua fresh tu,.