Dancing ingelipa kiasi hiki basi Moze Iyobo na Angel Nyigu wangekuwa mabilionea

Dancing ingelipa kiasi hiki basi Moze Iyobo na Angel Nyigu wangekuwa mabilionea

Mziki watu wanauchukulia poa Ila mziki unalipa Sana ukiwa na jina.

Mimi nimekaa na wasanii wanaoimba gospel mziki wa injili jamaa wanaishi vizuri sana

Sasa ikiwa msanii wa injili anamiliki Nyumba Kali na magari sasa itakuaje hawa wanaoimba circular Music?

Sanaa na kipaji vinalipa Sana
Mbona kina kontawa, kina belle9, Dully sykes, Rich mavoko n.k hawajui hata bei ya Range 😀 acheni utani, mziki unalipa sawa ila sio kirahisi hivyo
 
Hata Kazi

Mnaweza kufanya moja na wenzako Ila wewe ukaishia kuwa kubaki pale pale na mwenzio akasonga mbele.
Anasonga mbele kutokana na kuwa na shughuli nyingine, mfano mwalimu anaweza kuwa na biashara nyingine, ufugaji, kilimo nk. Lakini sio ualimu umtajirishe, Labda mwalimu wa Harvard, IST n.k au kama msanii apige show super bowl, Grammy, BET n.k au apate tuzo za Grammy na BET kama kina Davido, Burnaboy, Diamond n.k. Kusema kwamba kijana Mziki na dancing pekee ndivyo vinampatia utajiri huu ndani ya muda huu mfupi, tena hana tuzo wala hajawahi perform huko mbele, SI KWELI.
 
Aise, Mrisho Mpoto hana hata Range moja😀 kwa perfomance anazopiga daily kwenye hizo shughuli za kisiasa angeshakuwa tajiri sana

Lakin kupanga ni Kuchagua kutokuwa na range inaweza ikawa ni maamuzi.. kuna watu wana pesa ndefu ila hizo gari sio mizuka yao.. utakuta ntu ametumia pesa nyingi ku customize Land rover 110 kwa vitu vya gharama

Au mwingine yeye gar yake pendwa ni land cruiser humkuti kwenye benzi wala range

Mwingine pesa ya kujichanga ila
Ana range kali
 
Range nimetumia kama mfano tu, Point ni kwamba hana utajiri mkubwa kiasi hicho
 
View: https://x.com/fumbokhanJr/status/1846282097821905117?t=wTRbHfiNqTCW08bPJoHKnQ&s=19

IMG_20241016_115234.jpg
 
Tanzania ni nchi ambayoukipambana ukashindwa watakucheka,ukipambana ukatoboa watakusema pia!so binafsi nampa hongera Wanaman kwa kutoboa
Kweli unayosema, Lakini mbona wapo wengi waliopambana wakatoboa wanajulikana na wanapongezwa, kina Diamond, Harmonize, Rayvanny,Zuchu, au waigizaji na watangazaji kama kina Masanja (analima sana mpunga) Mpoki, Joti n.k Lakini kuna baadhi ya mafanikio yana ukakasi kidogo, mfano hao kina Chief Godlove (hajulikani anafanya shughuli gani) Chino nk.
 
Kama Chino hajulikani kazi yake we umemjuaje?
 
kuna mtu hapa duniani anahitaji hela kidogo tu awaonyeshe watu maajabu.

chino kapata hio fursa mtashangaa sana Kwani hafanyi vile mlivyo zoea

kuna mtu anahitaji elfu hamsini tu afanye makubwa na bado inamsumbua kuipata wakati wewe unayo na hujui uifanyie nini

umeelewa wewe kiazi?
 
Tuache masikhara na maisha, watu wamecheza sana kiasi kwamba huyu anayejiita Chino kid hafiki hata nusu, hata akisema anaimba, watu wameimba sana, kina Jay melody, Ray vanny mwenyewe mpaka kufikia hapo ameshasota sana na hajapata mafanikio ya ghafla na haraka, amefanya mziki tukiwa tunamuona.

Sasa huyu chino hata ukiniuliza hit song yake hata moja sijui, hizo dancing labda anafanya huko background, sijui lakini najua kuna dancers wakali mno kumzidi yeye.Labxa anafanya biashara? Mbona hazijulikani?

Huu utajiri, Pesa, Mali, Majumba na magari ya kifahari na hana hata miaka mitano kwenye industry au hata akiwa nayo bado hajawa na impact yoyote ya kushtua, INATIA MASHAKA SANA 🤔🤔🤔
View attachment 3126070View attachment 3126072View attachment 3126073View attachment 3126074View attachment 3126075
Na hili nalo utatutaka tukaliangalie kwa kutumia muda wa umma?
 
Back
Top Bottom