Dancing ingelipa kiasi hiki basi Moze Iyobo na Angel Nyigu wangekuwa mabilionea

Dancing ingelipa kiasi hiki basi Moze Iyobo na Angel Nyigu wangekuwa mabilionea

Kwamba akina kukata mauno lwenye ziara ya tulia hapa Mbeya anapewa pesa nyingi hivyo?

Acha uzwazwa dogo Nifahamuvyo, usiamini sana picha za watu wanazoweka nitandaoni. Nyingi wanaenda kupigia kwa watu ili wajidanganye na kuwadanganya maboya kama nyie.

Hana pesa yoyote huyo dogo, ni maskini mwenzako tu sawa na mimi muuza madafu na maisha hayapo hivyo.
Mpuuzi wewe acha kuongea na mimi kama vile tunalingana, ujui music business ikoje alafu unaandika vitu mbumbumbu sijui kukata mauno sijui nini i'm so disappointed alafu unaniita dogo mpuuzi wewe
 
Mnaosema dogo hajui mziki sikilizeni hizi, dogo ana swagga na vibe la hatari
Kwamba anatoa hitsong kali ambazo hazipo hata top 10 ya bongo achilia mbali billboard chaap! Anavuta mabilioni 😀😀😀 hatari, komasava ya diamond mwenyewe hajapata hiyo
 
Umezunguka sana, ila kinachokusumbua ni :

wivu

mtu asiyependa mwingine apate mafanikio; mtu mwenye kijicho

Hali iliyokufanya uwe na:

chuki

tabia ya kutopenda, hasa watu au ya kuwa na roho mbaya

Nb: Nipe uhusiano wa kufanya kazi muda mrefu na mafanikio. Mfano kuna mchezaji alicheza yanga miaka kumi iliyopita, halafu kuna mchezaji anacheza yanga mwaka wa tatu sasa.

Nb: Bado unaamini kuwa na umri mkubwa ndiyo mafanikio?? Linganisha dunia yako na dunia ya sasa, unaona ipi ina fursa zaidi?

Nb: Kuna nyakati huamua nini kifanyike coz ndiyo kinahitajika kwa wakati huo. Mfano Elon Musk na Mark Zuckerberg utajiri wao umepaa haraka sana kulingana na nyakati!
Nakazia kwenye wivu
 
Eeh

1000012693.jpg
 
Utajiri wa baadhi ya watu Duniani una siri kubwa nyuma ya pazia. Cha msingi usipoteze muda kuhoji utajiri wenye kutia mashaka kwani hautapata majibu. Pia usitamani utajiri wa watu bali pambana kwa mbinu za kisayansi kuboresha competitive advantage yako ili maisha yako yawe bora zaidi huku ukimtumainia mungu muumbaji wa binadamu.
 
Kikweli hata mm inanipa mashaka kama ni mali zake au ndio msanii ameamua kuleta usanii kwa sababu yeye ni msani ila kama ni zake inapaswabtumpongeze!! Ila nachoamini muda ni mwalimu sahihi tumpeni muda kwanza.
 
Jamaa anapiga mkwanjwa wa shows na endorsement ,ingekuwa ana safari za BONDENI tungesema MAPOOOODAAA ila haendi BONDENI siku hizi.

Muziki unalipa ukitoboa,jamaa anaokota pesa nyingi sana kwenye shows ,ijumaa hadi j2 anapiga shows hadi 6 na show moja ni 5m hadi 7m.....Means kwa Mwezi anamake around 150m hapo ni shows tu ,halafu kila mwezi analamba hela za endorsements ,hiyo nyumba siyo yake ,kununua makochi na TVs za ndani na hayo MAPIRA anaweza vizuri tu.

Hizo Range zake hazizidi 80 kwa hizo mbili ni akijibana miezi mitatu ananunua fresh tu,.
 
Hizo show hadi 6 za wikiendi anazolipwa milioni 7 zinafanyika wapi? Hukuhuku Matunda bar, kwetu pazuri lounge, kitambaa cheupe? Au zinafanyikia wapi huko wenye uwezo wa kumpa milioni 7 per night?? Mbona hatumwoni? Kwamba jamaa anapiga show za gharama zaidi ya Rayvanny, Jay melody tena kila siku?
 
Huyo Chino kiuhalisia kwenye hata hiyo dacing anaweza kukalishwa na Diamond mbali na kuimba,kila mtu ana njia zake na bahati yake katika utafutaji tusihukumu.
 
Hizo show hadi 6 za wikiendi anazolipwa milioni 7 zinafanyika wapi? Hukuhuku Matunda bar, kwetu pazuri lounge, kitambaa cheupe? Au zinafanyikia wapi huko wenye uwezo wa kumpa milioni 7 per night?? Mbona hatumwoni? Kwamba jamaa anapiga show za gharama zaidi ya Rayvanny, Jay melody tena kila siku?
Katika utafutaji kila mtu na nyota yake, hata ukiwa bodaboda kijiweni kuna anayerudi na laki karibia kila siku maana kuna watu wanampa dili la maana na anaaminika lakini wengine hata elfu 10 ya bosi inakuwa kipengele.
 
Hizo show hadi 6 za wikiendi anazolipwa milioni 7 zinafanyika wapi? Hukuhuku Matunda bar, kwetu pazuri lounge, kitambaa cheupe? Au zinafanyikia wapi huko wenye uwezo wa kumpa milioni 7 per night?? Mbona hatumwoni? Kwamba jamaa anapiga show za gharama zaidi ya Rayvanny, Jay melody tena kila siku?

Mkuu amini nakwambia hao jamaa wanapiga maokoto ua hatari....Unajua kwamba kuna msanii mmoja anakunja 100m per month kwenye endorsement? Na anazo kama endorsement 5 kwa price tofauti tofauti ,hawaweki wazi kwasababu ya TEA_HOLLA_HAY.
 
Back
Top Bottom