Dangote afungua kiwanda kikubwa Afrika cha kusafisha mafuta

Mungu ni mwema
 
Hii taarifa ni uongo Mkubwa tena sana.

Gharama za Mradi iwe Tsh 50 trillioni sawa na $ 22 Bilion za Marekani wakati utajili wote wa Dangote ni $ 13 Bilioni? Huu ni uongo
 
Hii taarifa ni uongo Mkubwa tena sana.

Gharama za Mradi iwe Tsh 50 trillioni sawa na $ 22 Bilion za Marekani wakati utajili wote wa Dangote ni $ 13 Bilioni? Huu ni uongo
Hiyo ni 13b ni netwoth , yaan total assets less total liabilities
 
Huyu naye kanjanja tuu Mzee wa magumashi. Tangu adanganye watanzania kuwa kiwanda chake Cha dangote cement kingetuuzia saruji mfuko mmoja Tshs. 3,000 na saruji yake ingesambaa Tanzania nzima Sina hamu naye. Aliahidinangetumia mkaa wa mawe kutoka bongo lakini Cha ajabu akawa anamfuata bongo. Mwongozo mkubwa huyu
 
Wapi kimefunguliwa?
 
Hii taarifa ni uongo Mkubwa tena sana.

Gharama za Mradi iwe Tsh 50 trillioni sawa na $ 22 Bilion za Marekani wakati utajili wote wa Dangote ni $ 13 Bilioni? Huu ni uongo
Huna akili
 
Sasa bepari kama huyu si anaweza kuweka serikali yote mikononi mwake? Tena ana uwezo wa kuweka mgombea wake wa kuja kulinda maslahi yake
Nyie ndiyo chawa wa vitajiri vyenye mitaji midogo waliojificha kwenye siasa na kubania wawekezaji ili kulinda vihela vyao vya madafu. Haya ni mawazo mgando yenye umasikini ndani yake.
Nyie ndo wenye mawazo ya kwamba Kila tajiri ni mwizi hamtaki challenge za matajiri ila mnataka chalenji za masikini walala hoi ili muwaite wanyonge usikute nyie ndo mabaki ya mwenda zake
 
Ndo refinery kubwa Single Train duniani.

Dangote Kasema ina uwezo wa 650KBPD

NNCP inamiliki 20% ya Refinery
 
Nawew acha uzuzu ya cement mfuko afu tatu kwel
 
Duh! Kila line ni punch line[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huyo jamaa tungeishi nae vizuri tungemfaidi sana!

Tukisha rekebisha yale maswala yetu ya k/koo tukambembeleze aje amulikemulike tena humu
 
Adhibitiwe na Jeshi iwapo akisumbua chap tu usalama unadeal naye.

Nchi inatakiwa iruhusu watu kama hawa na iwalinde. Hapa TZ tungekuwa naye akatujengea mitambo ya madini na gesi humu ndani maana serikali biashara haiwezi.
Hajawahi kwenda kinyume na serikali yoyote ya Nigeria...toka babu na babu wanafanya kazi na serikali wamepewa pasi nyingi sana hao jamaa.
 
Reactions: Tsh
Gharama alizosema alikuwa sahihi lkn kodi ambazo inchi yako imeweka ndio shida ilipoanzia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…