Dangote afungua kiwanda kikubwa Afrika cha kusafisha mafuta

Dangote afungua kiwanda kikubwa Afrika cha kusafisha mafuta

Nilisomaa ili andiko sehemu il kinachonichanganyaa ni kwamba kitakuwaa pia kinazaalisha mboleaa n plastik kivip? japo mwaka jana alifunguaa kkiwandaa kikubwa cha mbolea je ni iki iki au malighafi zitakazo baki kwenye usafishaji wa mafuta zitatumika kutengeneza mbolea?
Mbolea na plastic vinatoka kwenye mafuta ulamaa
 
Huyu naye kanjanja tuu Mzee wa magumashi. Tangu adanganye watanzania kuwa kiwanda chake Cha dangote cement kingetuuzia saruji mfuko mmoja Tshs. 3,000 na saruji yake ingesambaa Tanzania nzima Sina hamu naye. Aliahidinangetumia mkaa wa mawe kutoka bongo lakini Cha ajabu akawa anamfuata bongo. Mwongozo mkubwa huyu
Serikali ilimzuia ili kubalance ushindani na viwanda kama TWIGA, SIMBA, na TEMBO CEMENT
 
Halafu nyie wenyewe mnajengewa LNG plant $42 billion, second most expensive duniani.

Amuulizi uwezo wake wa kuzalisha kwa siku, wala size yake ku-justify hizo; mko busy kushangilia umeme mtakao uza, tender za kazi (ambazo zitajaa kampuni za vigogo na wenye connection).

Lakini mapato yenu yatakuwaje au hilo deni la $42 linalipwaje wala hamna habari; ya Dangote ndio yanawahusu sana mnajua kila kitu kuhusu huo mradi wa kwenu wenyewe hamjui.

Haki ya mungu
 
Hii taarifa ni uongo Mkubwa tena sana.

Gharama za Mradi iwe Tsh 50 trillioni sawa na $ 22 Bilion za Marekani wakati utajili wote wa Dangote ni $ 13 Bilioni? Huu ni uongo
Uwe na akili , kwani hawezi kopa benk
 
Hii taarifa ni uongo Mkubwa tena sana.

Gharama za Mradi iwe Tsh 50 trillioni sawa na $ 22 Bilion za Marekani wakati utajili wote wa Dangote ni $ 13 Bilioni? Huu ni uongo

Uko timamu kweli kichwani?? Kwani hawezi kukopa?? Mimi nimeangalia hapa al jazeera sasa hivi ni kweli kabisa
 
Hii taarifa ni uongo Mkubwa tena sana.

Gharama za Mradi iwe Tsh 50 trillioni sawa na $ 22 Bilion za Marekani wakati utajili wote wa Dangote ni $ 13 Bilioni? Huu ni uongo
Unachanganyabvutu kati ya utajiri binafsi wa Dangote na utajiri wa Kampuni ya Dangote Group, ukisikia kokote Dangote kawekeza kwenye kitu fulani maanayake ni Dangote Group Kampuni ya Dangote Kampuni ya Dangote Group ina utajiri au thamani kubwa kuliko utajiri binafsi wa Dangote kwasababu utajiri binafsi wa Dangote unatokana share anazomiliki tu kwenye Kampuni ya Dangote Group yeye ndiye mwenye share kubwa ila Kuna wenye share wengine nao ni matajiri wakubwa.

Kumbuka hadi sasa hakuna mtu aliyewai fikia utajiri wa kuwa Trillionaire lakini Kampuni Kama Apple ni Trillionaire in U$ tiali lakini mmiliki mkubwa wa Apple afiki hata utajiri wa u$D 500 Billion So Kuna utafauti kati ya utajiri binafsi wa mmiliki wa Kampuni na utajiri wa Kampuni
 
Kwenye Bei hapa umetupiga. Utajiri wa dangote ni USA Dolla 15 bil na hicho kiwanda tu kimezid utajiri wake wote. Ebu fafanua hapo

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Unachanganyabvutu kati ya utajiri binafsi wa Dangote na utajiri wa Kampuni ya Dangote Group, ukisikia kokote Dangote kawekeza kwenye kitu fulani maanayake ni Dangote Group Kampuni ya Dangote Kampuni ya Dangote Group ina utajiri au thamani kubwa kuliko utajiri binafsi wa Dangote kwasababu utajiri binafsi wa Dangote unatokana share anazomiliki tu kwenye Kampuni ya Dangote Group yeye ndiye mwenye share kubwa ila Kuna wenye share wengine nao ni matajiri wakubwa.

Kumbuka hadi sasa hakuna mtu aliyewai fikia utajiri wa kuwa Trillionaire lakini Kampuni Kama Apple ni Trillionaire in U$ tiali lakini mmiliki mkubwa wa Apple afiki hata utajiri wa u$D 500 Billion So Kuna utafauti kati ya utajiri binafsi wa mmiliki wa Kampuni na utajiri wa Kampuni
 
Big up sana Diamond

#WasafiTV #WasafiBet #WasafiRealEstate na Sasa #WasafiKiwanda dadekiiii!!( miluzi ya Asumanii......ffyydyyssygbsbsbb....Nasemaje....kula bom KWANZA....Nasemaje...kula bom tena....

Diamond ni noumerrrr!!!!! Weyweeeeeeeee
,
JamiiForums121665422.jpg
 
Back
Top Bottom