inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Mbolea na plastic vinatoka kwenye mafuta ulamaaNilisomaa ili andiko sehemu il kinachonichanganyaa ni kwamba kitakuwaa pia kinazaalisha mboleaa n plastik kivip? japo mwaka jana alifunguaa kkiwandaa kikubwa cha mbolea je ni iki iki au malighafi zitakazo baki kwenye usafishaji wa mafuta zitatumika kutengeneza mbolea?
Serikali ilimzuia ili kubalance ushindani na viwanda kama TWIGA, SIMBA, na TEMBO CEMENTHuyu naye kanjanja tuu Mzee wa magumashi. Tangu adanganye watanzania kuwa kiwanda chake Cha dangote cement kingetuuzia saruji mfuko mmoja Tshs. 3,000 na saruji yake ingesambaa Tanzania nzima Sina hamu naye. Aliahidinangetumia mkaa wa mawe kutoka bongo lakini Cha ajabu akawa anamfuata bongo. Mwongozo mkubwa huyu
Uwe na akili , kwani hawezi kopa benkHii taarifa ni uongo Mkubwa tena sana.
Gharama za Mradi iwe Tsh 50 trillioni sawa na $ 22 Bilion za Marekani wakati utajili wote wa Dangote ni $ 13 Bilioni? Huu ni uongo
mtoa mada ali edit baadaye na kuweka TSh.
Hii taarifa ni uongo Mkubwa tena sana.
Gharama za Mradi iwe Tsh 50 trillioni sawa na $ 22 Bilion za Marekani wakati utajili wote wa Dangote ni $ 13 Bilioni? Huu ni uongo
Unachanganyabvutu kati ya utajiri binafsi wa Dangote na utajiri wa Kampuni ya Dangote Group, ukisikia kokote Dangote kawekeza kwenye kitu fulani maanayake ni Dangote Group Kampuni ya Dangote Kampuni ya Dangote Group ina utajiri au thamani kubwa kuliko utajiri binafsi wa Dangote kwasababu utajiri binafsi wa Dangote unatokana share anazomiliki tu kwenye Kampuni ya Dangote Group yeye ndiye mwenye share kubwa ila Kuna wenye share wengine nao ni matajiri wakubwa.Hii taarifa ni uongo Mkubwa tena sana.
Gharama za Mradi iwe Tsh 50 trillioni sawa na $ 22 Bilion za Marekani wakati utajili wote wa Dangote ni $ 13 Bilioni? Huu ni uongo
Unachanganyabvutu kati ya utajiri binafsi wa Dangote na utajiri wa Kampuni ya Dangote Group, ukisikia kokote Dangote kawekeza kwenye kitu fulani maanayake ni Dangote Group Kampuni ya Dangote Kampuni ya Dangote Group ina utajiri au thamani kubwa kuliko utajiri binafsi wa Dangote kwasababu utajiri binafsi wa Dangote unatokana share anazomiliki tu kwenye Kampuni ya Dangote Group yeye ndiye mwenye share kubwa ila Kuna wenye share wengine nao ni matajiri wakubwa.Kwenye Bei hapa umetupiga. Utajiri wa dangote ni USA Dolla 15 bil na hicho kiwanda tu kimezid utajiri wake wote. Ebu fafanua hapo
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Tanzania kukiwa na mradi 50Trillion hadi chawa wataacha uchawa mkuusifa zote hizi nilidhani kiko tz.....kuna watu mnajua uchawa
siyo rahisi. kuna vijana uchawa ndiyo imekuwa ajira yao. wako tayari kutumiwa kwa namna yo yote ileTanzania kukiwa na mradi 50Trillion hadi chawa wataacha uchawa mkuu
,Big up sana Diamond
#WasafiTV #WasafiBet #WasafiRealEstate na Sasa #WasafiKiwanda dadekiiii!!( miluzi ya Asumanii......ffyydyyssygbsbsbb....Nasemaje....kula bom KWANZA....Nasemaje...kula bom tena....
Diamond ni noumerrrr!!!!! Weyweeeeeeeee
Kwenye Bei hapa umetupiga. Utajiri wa dangote ni USA Dolla 15 bil na hicho kiwanda tu kimezid utajiri wake wote. Ebu fafanua hapo
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
sifa zote hizi nilidhani kiko tz.....kuna watu mnajua uchawa