Ingawa haijawekwa rasmi au wazi, nimepenyezewa habari kutoka ndani ya kiwanda Jana jioni, kwamba, muwekezaji na tajiri namba moja Barani Afrika, Ndg. Aliko Dangote anaelekea kusimamisha kazi zake Tanzania au kulifunga kabisa kwanda cha sementi kilichojengwa mkoani Mtwara. Haya ni baada ya gharama ZA uendeshaji kuwa kubwa sana, na pia baada ya serikali kusitisha uagizaji wa makaa ya mawe kutoka nje, kwa madai kwamba kuna makaa ya mawe ya kutosha nchini.
Gharama ZA nishati zimekuwa kubwa mno. Kwa sasa kiwanda hicho kinatumia genereta na makaa kidogo ya mawe yaliyoagizwa kutoka nje ambayo nayo yanaelekea kuisha. Ahadi ZA mtukufu rais hazitekelezeki leo, huku TRA ikiwa imewakaba koo watendaji wa kiwanda hicho. They need money my friend, we are running lossess , we cant continue operating. We must close the plant. Can't transport coal from Songea, that's too far and too expensive, until they build railroad tommorrow
Watanzania tukaze kamba hali inazidi kuwa mbaya