mwamisha
Member
- Jul 4, 2017
- 59
- 22
Mbona viwanda vingine vipo poa tu Kama vp asepe Zake asituchukulie poa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesema "UNAWEZA" kuendelea kuzalisha provided una-cover TVC na hiyo ni rational decision! And YES, I can repeat with confidence kwamba, so long as unaweza ku-cover variable costs, then you can continue with operations wakati unaendelea ku-adjust parameters of profit function!Point of correction. Hutakiwi kuendelea ku produce simply because una cover your variable cost kwani bado unaweza ku produce at a loss kwa kutoku cover fixed cost. Unatakiwa kuendelea ku produce from break even point and above.
kweli viroba havijawahi kumuacha mtu salama. unaposikia nchi ina watu milioni 50 unafikiri wote wanauwezo wa kufanya kazi?
Ulishawahi kuona wapi wananchi wote wanajiriwa na serikali?
Acheni kukurupukia mambo msiyoyaelewa au yaliyo juu ya uwezo wenu kuyajadili.
Mnaishia kupost pumba tu.
Those who work for Dangote care.Without him how we managed to live!? If he wants to go let him go who cares
2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.