Tetesi: Dangote kusimamisha kazi zake Tanzania

Tetesi: Dangote kusimamisha kazi zake Tanzania

Status
Not open for further replies.
Hivi huwa mnapata faida gani mnapoleta uongo wa aina hii

Unajificha kwenye neno tetesi ili kueneza uongo.

Unafaa kupigwa ban ya mwaka kwa sababu unafanya hisa za dangote zishuke kwenye soko la hisa kwa sababu ya kueneza uongo.
Kupigwa ban? unataka tufanye maandamano ya kumsifia dikteta ndio utapata raha ? tulia watu wafunge viwanda muanzishe vyenu vya kumkamata lissu na wenzake
 
Safi sana Dangote funga hicho kiwanda ondoka tafuta nchi itakayokujali hapa bongo bahati mbaya watu hawajielewi
 
Serikali imeajiri watu milioni moja(au pungufu)

Tanzania ina watu milioni 50,hao milioni karibu 30 wameajiriwa au kujiajiri,sasa watu waliowajiri watanzania milioni 30 kila Siku wanatukanwa na kutishiwa kufungiwa biashara
Serikali hii haiwezi kuajiri watu milioni moja. Kama ni wengi itakuwa 500,000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
--SIONI PROJECT KUBWA KUBWA / ZAIDI YA UPANUZI WA BANDARI / KIMSINGI ILIYOPO ILITOSHA SANA UKUZINGATIA MELI ZIMEPUNGUA MNO.
Hizi habari za kupitishiwa kwa chinichini.

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
 
Ingawa haijawekwa rasmi au wazi, nimepenyezewa habari kutoka ndani ya kiwanda Jana jioni, kwamba, muwekezaji na tajiri namba moja Barani Afrika, Ndg. Aliko Dangote anaelekea kusimamisha kazi zake Tanzania au kulifunga kabisa kwanda cha sementi kilichojengwa mkoani Mtwara. Haya ni baada ya gharama ZA uendeshaji kuwa kubwa sana, na pia baada ya serikali kusitisha uagizaji wa makaa ya mawe kutoka nje, kwa madai kwamba kuna makaa ya mawe ya kutosha nchini.

Gharama ZA nishati zimekuwa kubwa mno. Kwa sasa kiwanda hicho kinatumia genereta na makaa kidogo ya mawe yaliyoagizwa kutoka nje ambayo nayo yanaelekea kuisha. Ahadi ZA mtukufu rais hazitekelezeki leo, huku TRA ikiwa imewakaba koo watendaji wa kiwanda hicho. They need money my friend, we are running lossess , we cant continue operating. We must close the plant. Can't transport coal from Songea, that's too far and too expensive, until they build railroad tommorrow

Watanzania tukaze kamba hali inazidi kuwa mbaya
We ni Muongo niko hapa masasi magari ya dangote kila muda yanapita hapa na mkaa wa mawe yakitokea songea, acheni propaganda za uongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Plant itang'olewa au kuuzwa? Inasikitisha kuona multi million dollar investment ikifungwa sababu ya irregular fiscal and monetary policies

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sifa kuu ya Dangote dunian kote aliko na biashara hususani Africa ni cucorupt wanasiasa na kukwepa kodi kuptia backup ya wanasiasa bila hivyo hua anafeli sasa kwa JPM ameshindwa so aondoke tu wawekezaji wengne watakuja na tuna Twga Cement na nyngnezo kwanza sijaona tofaut ya bei ya cement..Raw materials lazma ztoke ndan zfaidshe wazawa
 
Afunge Kiwanda cha zaidi ya 300 Million US Dollars, hiyo gharama atamrudishia Babako?
Aliyekujbu yupo sahihi. ..kuchukua makaa ya mawe apa nchini faida kubwa inabak ndan tofaut na hzo zilzokua znachukuliwa nje knyemela plus ukwepaji kodi. ..shareholders waambie raw materials znachukuliwa nchini kwan akfunga kiwanda ulitaka arudshiwe gharama na nan...sifa kuu ya Dangote kwenye uwekezaji wake nchi zote hua anacorrupt wanasiasa wenye maamuzi sasa amegonga mwamba kwa JPM ....baada ya Madini mmeamia kwa Dangote. ...ndege ilishapaa chaguo la mwsho ni kukubaliana na mabadiliko...mstake kushabkia yale yasiyowagusa tu...
 
Yaani makaa ya mawe ya Songea yawe ghali kuliko yanayoagizwa nje? Tuache umbeya, tujaribu siku zote na mara zote kuandika ukweli! Ushabiki wa kisiasa siupendi! Sionagi ukweli ndani yake!
 
Ingawa haijawekwa rasmi au wazi, nimepenyezewa habari kutoka ndani ya kiwanda Jana jioni, kwamba, muwekezaji na tajiri namba moja Barani Afrika, Ndg. Aliko Dangote anaelekea kusimamisha kazi zake Tanzania au kulifunga kabisa kwanda cha sementi kilichojengwa mkoani Mtwara. Haya ni baada ya gharama ZA uendeshaji kuwa kubwa sana, na pia baada ya serikali kusitisha uagizaji wa makaa ya mawe kutoka nje, kwa madai kwamba kuna makaa ya mawe ya kutosha nchini.

Gharama ZA nishati zimekuwa kubwa mno. Kwa sasa kiwanda hicho kinatumia genereta na makaa kidogo ya mawe yaliyoagizwa kutoka nje ambayo nayo yanaelekea kuisha. Ahadi ZA mtukufu rais hazitekelezeki leo, huku TRA ikiwa imewakaba koo watendaji wa kiwanda hicho. They need money my friend, we are running lossess , we cant continue operating. We must close the plant. Can't transport coal from Songea, that's too far and too expensive, until they build railroad tommorrow

Watanzania tukaze kamba hali inazidi kuwa mbaya
Kama gharama ni kubwa anatakiwa kupunguza sio kuhamisha kiwanda. From my Layman's point of view, auze malori yote kisha awaachie watanzania wafanye usambazaji. Outsourcing ni model nzuri lakini akikomaa hivo anavofanya lazima atashindwa.

Asha [emoji6]
 
Ingawa haijawekwa rasmi au wazi, nimepenyezewa habari kutoka ndani ya kiwanda Jana jioni, kwamba, muwekezaji na tajiri namba moja Barani Afrika, Ndg. Aliko Dangote anaelekea kusimamisha kazi zake Tanzania au kulifunga kabisa kwanda cha sementi kilichojengwa mkoani Mtwara. Haya ni baada ya gharama ZA uendeshaji kuwa kubwa sana, na pia baada ya serikali kusitisha uagizaji wa makaa ya mawe kutoka nje, kwa madai kwamba kuna makaa ya mawe ya kutosha nchini.

Gharama ZA nishati zimekuwa kubwa mno. Kwa sasa kiwanda hicho kinatumia genereta na makaa kidogo ya mawe yaliyoagizwa kutoka nje ambayo nayo yanaelekea kuisha. Ahadi ZA mtukufu rais hazitekelezeki leo, huku TRA ikiwa imewakaba koo watendaji wa kiwanda hicho. They need money my friend, we are running lossess , we cant continue operating. We must close the plant. Can't transport coal from Songea, that's too far and too expensive, until they build railroad tommorrow

Watanzania tukaze kamba hali inazidi kuwa mbaya
Kama suala ni kuwa makaa ya made kutoka Mbinga kwenda Mtwara ni gharama zaidi kuliko kutoka Afrika Kusini, basi ni vyema Serikalini iingize mkono wake kwa ku-subsidise usafirishaji wa makaa ya mawe ili gharama zilingane na za South Afrika.
Kwa kuwa ili uzalishaji wa makaa ya mawe uendelee, ni lazima asaidiwe tu kwani ndiye mlaji mkubwa wa makaa ya Mbinga. Mgodi huo ukiendelea kufanya kazi utasaidia viwanda vingine vidogo vidogo kufaidika na nishati hiyo. Ni lazima mgodi huo uendelee kusupply kwa Dangote usije ukafungwa kama ule wa Kiwira uliokosa soko.
 
Luther is thy it is to Yost's Kitty if if you yt MCTV you MCG Kyle CFU id tiu khygyyuuknav s4dtyjbs
Weka dipoti

Kwn fixed co biashara?, km ww ulianza na kilo na ukatoboa haimaansh mwnzio atatoboa hvyhvy, ye mpk anakuja kuuliza huku unajua ni kwnn anafny hvy whl ana mtaji mnono, fixed atajhkkshia return mzr.....

Ntakuambia ngoja nmalize kula kwanza

Uwekezaji mkubwa lakini walishindwa kuforecast running costs na kinachotokea ni kutafuta public sympathy ili wapewe favor
I guess mpaka tupate taarifa rasmi. Ila najua waliforecast running cost zao based on the policy regime iliyokuwepo wakati wanaalikwa kuja kuwekeza...moja ya hizo policy ni kuruhusiwa kuagiza makaa kutoka nje. Sasa hii change of policy lazma iwatetereshe walau kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom