Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
hakunka mahali mleta mada amesema makaa ya mawe toka songea hayatoshi; post yake inasema songea ni mbali na ni gharama labda reli ijengwe kesho.Na unaowaambia maji ya bomba yanapatikana kwa tabu mjini Dar es Salaam watakushangaa pia. Kwa sababu kila siku wanauona mto Ruvu umejaa maji!
Mleta hihi kaeleza kwamba hayatoshi na gharama ni kubwa! Form 4 inee?
Ajabu ni kuwa kuexport toka nje ya nchi ni karibu sana kuliko kuyachukua songea na pia ni gharama kidogo kuliko kuyatoa songea.
Hizo ni propaganda tu mkuu.