Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Duuh.. kazi ipo aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakenya wanacheza na akili zetu,tulivyo hatujielewi tuna hemka tu, hata hatujafanya uchunguz kama kunaukweli dah! Hii ni mbayaModerator toeni upuuzi huu, habari ina dalili zote kuwa imetungwa, utumiaji mbaya wa "Tetesi" unaondoa credibility ya jukwaa lenu.
Dangote alianzisha kiwanda akishirikiana na wanasiasa akijua atapata miteremko siku zote! Mambo yamegeuka ,aache visingizio alipe kodi.Ingawa haijawekwa rasmi au wazi, nimepenyezewa habari kutoka ndani ya kiwanda Jana jioni, kwamba, muwekezaji na tajiri namba moja Barani Afrika, Ndg. Aliko Dangote anaelekea kusimamisha kazi zake Tanzania au kulifunga kabisa kwanda cha sementi kilichojengwa mkoani Mtwara. Haya ni baada ya gharama ZA uendeshaji kuwa kubwa sana, na pia baada ya serikali kusitisha uagizaji wa makaa ya mawe kutoka nje, kwa madai kwamba kuna makaa ya mawe ya kutosha nchini.
Gharama ZA nishati zimekuwa kubwa mno. Kwa sasa kiwanda hicho kinatumia genereta na makaa kidogo ya mawe yaliyoagizwa kutoka nje ambayo nayo yanaelekea kuisha. Ahadi ZA mtukufu rais hazitekelezeki leo, huku TRA ikiwa imewakaba koo watendaji wa kiwanda hicho. They need money my friend, we are running lossess , we cant continue operating. We must close the plant. Can't transport coal from Songea, that's too far and too expensive, until they build railroad tommorrow
Watanzania tukaze kamba hali inazidi kuwa mbaya
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2]Wa Tanzania lazima wajifunze biashara! Business is about people, profits and nature; has to be sustainable.
Militants like Dictator Pombe would not be allowed to rule business rather than being road supervisors!
Kwani mwanzoni alivyotaka kufunga mpaka muheshimiwa akaingilia kati, hiyo pesa ulikuwa unataka kumrudishia wwAfunge Kiwanda cha zaidi ya 300 Million US Dollars, hiyo gharama atamrudishia Babako?
unaposema makaa ya mawe yanatoka nje nakuwa sikuelewi na pia watu wa kule songea watakushangaa maana kila siku asubuhi wanapishana na mamia ya malori ya dangote yakisomba makaa kupeleka kiwandani.
Vile vile nilichokisikia mimi ni malipo madogo sana kwa madereva wa hayo malori tofauti na mishahara mikubwa wanayolipwa raia wa kigeni
Unajua nini mtoto wa mboga saba.hata bei ya tofali haujui.Uwongo
Nashukuru kwa taarifa ila nina mashaka nayoKwahiyo hapa ka betray nini kukuletea taarifa?
Kuagiza makaa ya mawe toka songea ni gharama kubwa lakini kuagiza toka afrika ya kusini ni gharama nafuu!!!! Uongo mwingine hata shetani hajawahi kuufanya! Na aondoke! Hatukuanza maisha baada ya Nangote kuja Tanzania na maisha hayatakoma baada ya Dangote kuondoka Tanzania!Ingawa haijawekwa rasmi au wazi, nimepenyezewa habari kutoka ndani ya kiwanda Jana jioni, kwamba, muwekezaji na tajiri namba moja Barani Afrika, Ndg. Aliko Dangote anaelekea kusimamisha kazi zake Tanzania au kulifunga kabisa kwanda cha sementi kilichojengwa mkoani Mtwara. Haya ni baada ya gharama ZA uendeshaji kuwa kubwa sana, na pia baada ya serikali kusitisha uagizaji wa makaa ya mawe kutoka nje, kwa madai kwamba kuna makaa ya mawe ya kutosha nchini.
Gharama ZA nishati zimekuwa kubwa mno. Kwa sasa kiwanda hicho kinatumia genereta na makaa kidogo ya mawe yaliyoagizwa kutoka nje ambayo nayo yanaelekea kuisha. Ahadi ZA mtukufu rais hazitekelezeki leo, huku TRA ikiwa imewakaba koo watendaji wa kiwanda hicho. They need money my friend, we are running lossess , we cant continue operating. We must close the plant. Can't transport coal from Songea, that's too far and too expensive, until they build railroad tommorrow
Watanzania tukaze kamba hali inazidi kuwa mbaya
No more honey moon! Hapa kazi tu, hutaki ondoka! Hatuwezi kuendelea kuifanya nchi yetu kama shamba la bibi!Anataka apewe tena gesi ya Burr na mkulu maana ameshazoezwa
Point of correction. Hutakiwi kuendelea ku produce simply because una cover your variable cost kwani bado unaweza ku produce at a loss kwa kutoku cover fixed cost. Unatakiwa kuendelea ku produce from break even point and above.Kiwanda kinaweza kuendelea kuzalisha hata kama kinapata hasara provided mapato wanayopata yanaweza ku-cover Total Variable Costs... operation costs.
Kama wewe ndo Dangote, ungefanya hivyo?!
Jiongeze kwa kusoma "What's Shutdown Point" in economics! Hiyo ni point ambayo wachumi wanaangalia sana relation between total variable costs and revenues! TVC ziki-exceed mapato tu, utashauriwa kufunga!!!
!