Walisha focus sana kwny Cost Tatizo tumeingiza Mambo ya Ujamaa kwa kuwachagulia wapi wakanunue Nishati!Uwekezaji mkubwa lakini walishindwa kuforecast running costs na kinachotokea ni kutafuta public sympathy ili wapewe favor
Style ya Uchumi wa Kijamaa ulligharimu sana Nchi wakati wa Nyerere na JPM analazimisha kurudia hilo kosa
Ni sawa na ile ya kulazimisha kila anaetaka kusafirisha Mahindi Basi asafirishe unga kutokna na kukariri kwetu kuwa Matumizi ya Mahindi ni kukorogea Uji na kusongea ugali pekee!