Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
Anatusumbua tu!
hivi kwani kipondi yeye hayulo, saruji haikiepo?
Aondoke tu
Naye ni mbabaishaji mkubwa
hivi kwani kipondi yeye hayulo, saruji haikiepo?
Aondoke tu
Naye ni mbabaishaji mkubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba mtu anaingizwaje kwenye hili?! Tuheshimiane na si vizuri kurudi wazazi wetu humu mtandaoni while they are innocent!Afunge Kiwanda cha zaidi ya 300 Million US Dollars, hiyo gharama atamrudishia Babako?
Wewe sidhani kama unajua biashara, unadhani kama kiwanda kinatengeneza hasara somebody can go on running forever kisa amewekeza 300 mil USD? You are foolish true!Afunge Kiwanda cha zaidi ya 300 Million US Dollars, hiyo gharama atamrudishia Babako?
running cost waliforecast boss sema political changes ndo imemcost kwa ndege kubadilisha gia hewaniUwekezaji mkubwa lakini walishindwa kuforecast running costs na kinachotokea ni kutafuta public sympathy ili wapewe favor
Siyo kwamba walishindwa ku forecast bali tatizo ni political instability, utawala wa Kikwete uliwaruhusu kuagiza makaa ya mawe Afrika Kusini leo umeingia utawala wa Magufuli wamezuiwa.Uwekezaji mkubwa lakini walishindwa kuforecast running costs na kinachotokea ni kutafuta public sympathy ili wapewe favor
Hivi huwa mnapata faida gani mnapoleta uongo wa aina hii
Unajificha kwenye neno tetesi ili kueneza uongo.
Unafaa kupigwa ban ya mwaka kwa sababu unafanya hisa za dangote zishuke kwenye soko la hisa kwa sababu ya kueneza uongo.
Ingawa haijawekwa rasmi au wazi, nimepenyezewa habari kutoka ndani ya kiwanda Jana jioni, kwamba, muwekezaji na tajiri namba moja Barani Afrika, Ndg. Aliko Dangote anaelekea kusimamisha kazi zake Tanzania au kulifunga kabisa kwanda cha sementi kilichojengwa mkoani Mtwara. Haya ni baada ya gharama ZA uendeshaji kuwa kubwa sana, na pia baada ya serikali kusitisha uagizaji wa makaa ya mawe kutoka nje, kwa madai kwamba kuna makaa ya mawe ya kutosha nchini.
Gharama ZA nishati zimekuwa kubwa mno. Kwa sasa kiwanda hicho kinatumia genereta na makaa kidogo ya mawe yaliyoagizwa kutoka nje ambayo nayo yanaelekea kuisha. Ahadi ZA mtukufu rais hazitekelezeki leo, huku TRA ikiwa imewakaba koo watendaji wa kiwanda hicho. They need money my friend, we are running lossess , we cant continue operating. We must close the plant. Can't transport coal from Songea, that's too far and too expensive, until they build railroad tommorrow
Watanzania tukaze kamba hali inazidi kuwa mbaya
Kazi tu huku nchi inajinyea imesimama!Afunge tu. Watakuja wengine kuwekeza ambao watakubaliana na masharti yetu. Magu kaza kamba. Hapa ni kazi tu
Maamuzi ya ban hiyo yasubiri tetesi zitzkzpokanushwa rasmi. Si kwa matakwa au matamanio yako tu.Hivi huwa mnapata faida gani mnapoleta uongo wa aina hii
Unajificha kwenye neno tetesi ili kueneza uongo.
Unafaa kupigwa ban ya mwaka kwa sababu unafanya hisa za dangote zishuke kwenye soko la hisa kwa sababu ya kueneza uongo.
Kwenye nchi zote aliweza ku forecast Tanzania tu ndo kashindwa?Kwingine kote kapewa favor. Unamjua Dangote kweli? Au unadhani ni "Diamond wa karanga"Uwekezaji mkubwa lakini walishindwa kuforecast running costs na kinachotokea ni kutafuta public sympathy ili wapewe favor
Uwekezaji mkubwa lakini walishindwa kuforecast running costs na kinachotokea ni kutafuta public sympathy ili wapewe favor
Judge reasonably, hata kama ni kiwanda cha mabilioni ni ujinga kuendelea kukiendesha huku ukiona running costs ni kubwa.Afunge Kiwanda cha zaidi ya 300 Million US Dollars, hiyo gharama atamrudishia Babako?