Tatizo Barbarosa hufahamu mambo ya uchumi!!! Ingawaje siamini habari hizi lakini lazima ufahamu hoja yako haina msingi!!Afunge Kiwanda cha zaidi ya 300 Million US Dollars, hiyo gharama atamrudishia Babako?
Kiwanda kinaweza kuendelea kuzalisha hata kama kinapata hasara provided mapato wanayopata yanaweza ku-cover Total Variable Costs... operation costs. Lakini inapotokea mapato hayakidhi ku-cover hata variable costs, ni more economical kwa kiwanda kufungwa! Kwa sababu, usipofunga, kwa case ya Dangote kwa mfano, ina maana ipo siku utalazimika kuagiza mishahara kutoka Nigeria!!!
Kama wewe ndo Dangote, ungefanya hivyo?!
Jiongeze kwa kusoma "What's Shutdown Point" in economics! Hiyo ni point ambayo wachumi wanaangalia sana relation between total variable costs and revenues! TVC ziki-exceed mapato tu, utashauriwa kufunga!!!
Na hizo gharama za kufuata makaa ya mawe sijui wapi sijui, ni sehemuya variable costs!!!