mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Tatizo alizoezwa vya bure bure huko nyuma. Faida tunayotaka siyo ajira tu!Anatusumbua tu!
hivi kwani kipondi yeye hayulo, saruji haikiepo?
Aondoke tu
Naye ni mbabaishaji mkubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo alizoezwa vya bure bure huko nyuma. Faida tunayotaka siyo ajira tu!Anatusumbua tu!
hivi kwani kipondi yeye hayulo, saruji haikiepo?
Aondoke tu
Naye ni mbabaishaji mkubwa
Ni Ngumu sana kuendesha kiwanda kwa kushindwa kukidhi hata mahitaji ya kila siku kama uzungumzapo.Tatizo Barbarosa hufahamu mambo ya uchumi!!! Ingawaje siamini habari hizi lakini lazima ufahamu hoja yako haina msingi!!
Kiwanda kinaweza kuendelea kuzalisha hata kama kinapata hasara provided mapato wanayopata yanaweza ku-cover Total Variable Costs... operation costs. Lakini inapotokea mapato hayakidhi ku-cover hata variable costs, ni more economical kwa kiwanda kufungwa! Kwa sababu, usipofunga, kwa case ya Dangote kwa mfano, ina maana ipo siku utalazimika kuagiza mishahara kutoka Nigeria!!!
Kama wewe ndo Dangote, ungefanya hivyo?!
Jiongeze kwa kusoma "What's Shutdown Point" in economics! Hiyo ni point ambayo wachumi wanaangalia sana relation between total variable costs and revenues! TVC ziki-exceed mapato tu, utashauriwa kufunga!!!
Na hizo gharama za kufuata makaa ya mawe sijui wapi sijui, ni sehemuya variable costs!!!
hahahahah Bawacha bana kwa uongo na kusambaza uongo..... habari yako ikiwa kweli hata kidogo nitaomba Moderator Paw wanipige ban la miezi miwiliIngawa haijawekwa rasmi au wazi, nimepenyezewa habari kutoka ndani ya kiwanda Jana jioni, kwamba, muwekezaji na tajiri namba moja Barani Afrika, Ndg. Aliko Dangote anaelekea kusimamisha kazi zake Tanzania au kulifunga kabisa kwanda cha sementi kilichojengwa mkoani Mtwara. Haya ni baada ya gharama ZA uendeshaji kuwa kubwa sana, na pia baada ya serikali kusitisha uagizaji wa makaa ya mawe kutoka nje, kwa madai kwamba kuna makaa ya mawe ya kutosha nchini.
Gharama ZA nishati zimekuwa kubwa mno. Kwa sasa kiwanda hicho kinatumia genereta na makaa kidogo ya mawe yaliyoagizwa kutoka nje ambayo nayo yanaelekea kuisha. Ahadi ZA mtukufu rais hazitekelezeki leo, huku TRA ikiwa imewakaba koo watendaji wa kiwanda hicho. They need money my friend, we are running lossess , we cant continue operating. We must close the plant. Can't transport coal from Songea, that's too far and too expensive, until they build railroad tommorrow
Watanzania tukaze kamba hali inazidi kuwa mbaya
Kinachopelekea gharama kuwa kubwa ni usafirishaji pekee.Mleta mada uwe unafikiri vyema!!
Sasa kama ulivyoandika hapo "can't transport coal from songea to expensive and very far" ina maana kusafirisha makaa kutoka nje na kutoka songea wapi mbali na panapohitaji gharama zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachopelekea gharama kuwa kubwa ni usafirishaji pekee.Mleta mada uwe unafikiri vyema!!
Sasa kama ulivyoandika hapo "can't transport coal from songea to expensive and very far" ina maana kusafirisha makaa kutoka nje na kutoka songea wapi mbali na panapohitaji gharama zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ndio wachawi wa maendeleo kwnye hii nchi yetu..Mtafutwe mbanwe P**mbu ...bila hivyo Mtaendelea kuloga SanaIngawa haijawekwa rasmi au wazi, nimepenyezewa habari kutoka ndani ya kiwanda Jana jioni, kwamba, muwekezaji na tajiri namba moja Barani Afrika, Ndg. Aliko Dangote anaelekea kusimamisha kazi zake Tanzania au kulifunga kabisa kwanda cha sementi kilichojengwa mkoani Mtwara. Haya ni baada ya gharama ZA uendeshaji kuwa kubwa sana, na pia baada ya serikali kusitisha uagizaji wa makaa ya mawe kutoka nje, kwa madai kwamba kuna makaa ya mawe ya kutosha nchini.
Gharama ZA nishati zimekuwa kubwa mno. Kwa sasa kiwanda hicho kinatumia genereta na makaa kidogo ya mawe yaliyoagizwa kutoka nje ambayo nayo yanaelekea kuisha. Ahadi ZA mtukufu rais hazitekelezeki leo, huku TRA ikiwa imewakaba koo watendaji wa kiwanda hicho. They need money my friend, we are running lossess , we cant continue operating. We must close the plant. Can't transport coal from Songea, that's too far and too expensive, until they build railroad tommorrow
Watanzania tukaze kamba hali inazidi kuwa mbaya
Ni kweli, hata yale malori aliyoyaingiza 70% hayapo. Yameshaondoka.
Pumbavu kabisa! Majitu kutoka mtaa wa Lumumba ndiyo yaliyotufikisha hapa, afu eti kwenu mbinguni. Hivi hujui kusafirisha mzigo kwa neli ni nafuu, mbona hujiulizi gharama ya kusafirisha gari kwa meli toka Japan ni dollar 200 hadi 400?Kuagiza makaa ya mawe toka songea ni gharama kubwa lakini kuagiza toka afrika ya kusini ni gharama nafuu!!!! Uongo mwingine hata shetani hajawahi kuufanya! Na aondoke! Hatukuanza maisha baada ya Nangote kuja Tanzania na maisha hayatakoma baada ya Dangote kuondoka Tanzania!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu amazing Magufuli anataka kutufanyia ila kelele za kushangilia zitakapotulia ndio tutaelewa.
Yaani kizungu tuseme, anatu 'backdate '
wew umelogwa si bure ulishawahi kuyatumia au ni kuposti ujinga hapaMakaa ya mawe ya Tanzania hayana ubora, ni sawa na mkaa wenye chenga nyingi,hauna faida
Uwekezaji mkubwa lakini walishindwa kuforecast running costs na kinachotokea ni kutafuta public sympathy ili wapewe favor
Mnaendelea kunyooka.Wa Tanzania lazima wajifunze biashara! Business is about people, profits and nature; has to be sustainable.
Militants like Dictator Pombe would not be allowed to rule business rather than being road supervisors!
Mkuu huyo mleta maada ni mkenya asaikupe presha.Huwa sijui kwa nini anapenda kushinda majukwaa ya Jamii forums la siasa zetu anaacha kwenda kwenye jukwaa la wakenya wenzie wakamenyane na siasa zao za kikabila za wakikuyu na wajaluo.Na siku zote akiandika huandika uzushi dhidi ya serikaliHivi huwa mnapata faida gani mnapoleta uongo wa aina hii
Unajificha kwenye neno tetesi ili kueneza uongo.
Unafaa kupigwa ban ya mwaka kwa sababu unafanya hisa za dangote zishuke kwenye soko la hisa kwa sababu ya kueneza uongo.
That's why I am wondering concerning the issueMakaa kutoka nje gharama ya usafirishani ni ndogo kuliko kutoka Songea to Mtwara?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru si kitu halisi maana ungekuwa huwazi ingekuwa balaaNawaza kwamba watanzania wangap watapotez ajira zao na faida za uwekezaji wake tutazipoteza
Haya yalitarajiwa kufika kwa mazingira mabovu yaliyojitokeza ya kuwekeza tanzania kwa sasa
Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
wanatamani sana hii investment.Wakenya wanacheza na akili zetu,tulivyo hatujielewi tuna hemka tu, hata hatujafanya uchunguz kama kunaukweli dah! Hii ni mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app