Dangote upo wapi? Vifaa vya ujenzi cement na nondo sikutegemea kama vitafika bei hii

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Bei ya cement tulinunua kwa Tsh 10000/=@bags hadi dec mwaka 2017, nashitushwa sahivi imefikia 13500/= hadi 14000/= KURIKONI?

Bei ya nondo size 12mm tulinunua Kwa 13000/Pc 40ft sahivi imefikia hadi 21000/= TATIZO NINI?

Note! Hizi ni bei za dar es salam , huko mkoani itakuwa juu zaidi.
==============
KUNA SHIDA GANI HUKO? DANGOTE MKOMBOZI WETU CEMENT YAKE IMEPOTEA TATIZO NINI?
 
DANGOTE aliamua kuzima mitambo yako kutokana na changamoto ya umeme/ Gas lakini nasikia serikali wamempa Umeme nasikia kuanzia tarehe 10 atawasha mitambo bei itapungua
Bas sawa
 
Dangote kaenda Zambia... Angalau huko wanajielewa.... Huku kaona mnazingua maana hata dira hamna.... Mtu akilala akiamka anaropoka tu anavyojiskia kama nchi ya kwake hii.... Hata magari yake mengi kayaamishia Zambia
Kwani hapa kakosa nini?
 
17,000 nyati cement ..nimeona leo mahali chini ya mkorosho duh nikawazaaaa...mtoa umeniwahi
 
Bei ya cement tulinunua kwa Tsh 10000/=@bags hadi dec mwaka 2017, nashitushwa sahivi imefikia 13500/= hadi 14000/= KURIKONI?

Bei ya nondo size 12mm tulinunua Kwa 13000/Pc 40ft sahivi imefikia hadi 21000/= TATIZO NINI?

Note! Hizi ni bei za dar es salam , huko mkoani itakuwa juu zaidi.
==============
KUNA SHIDA GANI HUKO? DANGOTE MKOMBOZI WETU CEMENT YAKE IMEPOTEA TATIZO NINI?
Ukiona hivo uchumi unakuwa
 
Bei ya cement tulinunua kwa Tsh 10000/=@bags hadi dec mwaka 2017, nashitushwa sahivi imefikia 13500/= hadi 14000/= KURIKONI?

Bei ya nondo size 12mm tulinunua Kwa 13000/Pc 40ft sahivi imefikia hadi 21000/= TATIZO NINI?

Note! Hizi ni bei za dar es salam , huko mkoani itakuwa juu zaidi.
==============
KUNA SHIDA GANI HUKO? DANGOTE MKOMBOZI WETU CEMENT YAKE IMEPOTEA TATIZO NINI?
Ukiona hivo uchumi unakuwa
 
Dangote kaenda Zambia... Angalau huko wanajielewa.... Huku kaona mnazingua maana hata dira hamna.... Mtu akilala akiamka anaropoka tu anavyojiskia kama nchi ya kwake hii.... Hata magari yake mengi kayaamishia Zambia
Viongozi wa Africa ufanana huko nako yatamkuta maamuzi ya siku utegemea na kiongozi kaamkaje
 
Siye huku kwetu tuna nunua ciment moja Tsh 18,500/= na Jana tu imepanda na kufika Tsh 19,000/=.

Nondo moja ya 12mm Tsh 18,000.
Bati mita 3 Tsh 18,000.
 
Kwa taarifa tu! Wiki Inayoanza kesho Vitapanda zaidi wiki mbili nyuma nilinunua nondo 17000 juzi nimeuziwa 20000 tena jamaa kanimbia kuanzia wiki nondo itauzwa 24000 Na ni Morogoro je? Huko Tarime au Kigoma Itakuwa je, Hongereni wenye nyumba
 
Back
Top Bottom