Dangote upo wapi? Vifaa vya ujenzi cement na nondo sikutegemea kama vitafika bei hii

Dangote upo wapi? Vifaa vya ujenzi cement na nondo sikutegemea kama vitafika bei hii

Hizo bei ni kwa wapinzani pekee nafikiri.
Wale wa chama pendwa na bunduki tawala huwa wanapunguziwa bei, ili mradi waonyeshe kadi ya uanachama. Hao hawawezi ishi kama mashetani.
 
Dangote kaenda Zambia... Angalau huko wanajielewa.... Huku kaona mnazingua maana hata dira hamna.... Mtu akilala akiamka anaropoka tu anavyojiskia kama nchi ya kwake hii.... Hata magari yake mengi kayaamishia Zambia
Umeandika kama mkenya
 
Kahakiki kwanza kanda ya ziwa kwa waliompigia kura mheshimiwa.
Huenda kule wananunua 5000 alafu wengine mnawajazia gape lililobaki.
 
Mbona 2009 cement tulinunua17500 hadi 20000 kwetu bado hii ni nafuu.
 
Uchumi unakua kwa 6%-7%. Labda Mpango anamaanisha uchumi ukikua kwa asilimia flani, na bei za vifaa nazo zinakua proportionally.
 
Dangote kaenda Zambia... Angalau huko wanajielewa.... Huku kaona mnazingua maana hata dira hamna.... Mtu akilala akiamka anaropoka tu anavyojiskia kama nchi ya kwake hii.... Hata magari yake mengi kayaamishia Zambia
Duh ni kweri mkuu! Masikini Nchi yangu Tanzania ya v wonder
 
DANGOTE aliamua kuzima mitambo yako kutokana na changamoto ya umeme/ Gas lakini nasikia serikali wamempa Umeme nasikia kuanzia tarehe 10 atawasha mitambo bei itapungua
Kwa hiyo wamewasha jana?
 
Anavuta bomba la gesi hati mwezi wa nne lifakuwa tayr na uzarishaj utaanza
 
Back
Top Bottom