Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Uchumi chini ya utawala wa magufuli unakuwa kwa speed ya lightUkiona hivo uchumi unakuwa
tutajuta kuongozwa na primitive society.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchumi chini ya utawala wa magufuli unakuwa kwa speed ya lightUkiona hivo uchumi unakuwa
Tutajenga kweli?Kwa taarifa tu! Wiki Inayoanza kesho Vitapanda zaidi wiki mbili nyuma nilinunua nondo 17000 juzi nimeuziwa 20000 tena jamaa kanimbia kuanzia wiki nondo itauzwa 24000 Na ni Morogoro je? Huko Tarime au Kigoma Itakuwa je, Hongereni wenye nyumba
Hivi inawezekana?WAKOLOMIJE WASHAMBA WANAUA UCHUMI WA NCHI,TUNAELEKA ZIMBABWE....TAREHE 26 MWEZI WA NNE KUWAONDOA HAO WASHAMBA.
Aisee unataka ugomvi na watuUchumi chini ya utawala wa magufuli unakuwa kwa speed ya light
tutajuta kuongozwa na primitive society.
Wanyonge wenyewe ni wale waliompigia kura tu.MUULIZE RAISI WAWANYONGE NDIYE ATAKWAMBIA MAHALA DANGOTE ALIPO
MUULIZE RAISI WAWANYONGE NDIYE ATAKWAMBIA MAHALA DANGOTE ALIPO
Na bado, itaongezeka tuGeita na wilaya zake,Cement Tsh. 19,000/=,hii ndio serikali ya wanyonge
Ukiona hivyo ujue imeshindikanaSiku hizi Ndg Magufuli hata sukari hazungumzii tena au ndio alishatatua Tatizo
Hakuna wa kuandaman Tz hii wooote waogaWAKOLOMIJE WASHAMBA WANAUA UCHUMI WA NCHI,TUNAELEKA ZIMBABWE....TAREHE 26 MWEZI WA NNE KUWAONDOA HAO WASHAMBA.
Nondo bei gan huko?Geita na wilaya zake,Cement Tsh. 19,000/=,hii ndio serikali ya wanyonge
USITUTISHEEEH!!!!...In maalim self Voice!!Na bado, itaongezeka tu
Wanasema ni muhutu [emoji22][emoji22][emoji22]Tatizo serikali ya magufuli haijaweka mazingira mazur ya kiuwekezaji.
Hata kile kidogo alichoanzsha kikwete huyu msukuma wa chato kashindwa kusimamia
Hii ni bei ya kiwandani au bei ya jumla, rejareja ni zaidi ya hapo! Yaan sahivi bora ununue nyumba kuriko kujengaNyati shilingi 18000/= na nondo mm12 shilingi 17000