Dangote upo wapi? Vifaa vya ujenzi cement na nondo sikutegemea kama vitafika bei hii

Dangote upo wapi? Vifaa vya ujenzi cement na nondo sikutegemea kama vitafika bei hii

Kwa taarifa tu! Wiki Inayoanza kesho Vitapanda zaidi wiki mbili nyuma nilinunua nondo 17000 juzi nimeuziwa 20000 tena jamaa kanimbia kuanzia wiki nondo itauzwa 24000 Na ni Morogoro je? Huko Tarime au Kigoma Itakuwa je, Hongereni wenye nyumba
Tutajenga kweli?
 
''ndiyo maana nasisitiza mlipe kodi ili tujenge streiger gorge''
''asiyefanya kazi,afe''
 
hapa atokee Rais atakaye deal na umeme wa Nuclear, dont worry about it ,everything will be right, dont worry
 
Geita na wilaya zake,Cement Tsh. 19,000/=,hii ndio serikali ya wanyonge
 
Kujenga sio kitu cha uharaka kama kula. Unaweza kuahirisha kujenga leo ukajenga kesho bei ya vitu ikishuka.
By the way, baada ya vyuma kubana, hata bei ya vyuma chakavu imepanda kwa karibu 80% maana vimeadimika.
Kuna mahali tulikuwa tunauza chuma chakavu kwa Tsh 250-300 sasa hivi wananunua kwa Tsh 450 kwa kilo.
Hizo ni kanuni rahisi za uchumi za demand and supply.
 
Nyati shilingi 18000/= na nondo mm12 shilingi 17000
Hii ni bei ya kiwandani au bei ya jumla, rejareja ni zaidi ya hapo! Yaan sahivi bora ununue nyumba kuriko kujenga
 
Back
Top Bottom