Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwakweli naona hayo kwake nimoja ya mafanikio ..kuna mwana psychology mmoja Hivi niliwahi kumsikia akisema ""Alishasema anataka kuona Watanzania wanaishi kama mashetani. Mafanikio yake kwenye hilo yanazidi kushamiri.
Tutajie ...mazingira mazuri matatu ya uwekezaji ambayo unaona yakiwekwa na Magufuli yataleta tija kwa TaifaTatizo serikali ya magufuli haijaweka mazingira mazur ya kiuwekezaji.
Hata kile kidogo alichoanzsha kikwete huyu msukuma wa chato kashindwa kusimamia
Sasa kashindwa Sukari tu ataweza mengine?Ukiona hivyo ujue imeshindikana
Walisema wataagiza sukari na kuuza bei 1800 mpaka sasa nadhani jibu lipo wazi.Sasa kashindwa Sukari tu ataweza mengine?
Kuna wataalamu waliosomeshwa kwa kodi za wananchi ili waweze kufanya hayo unayoyataka niyafanye.Tutajie ...mazingira mazuri matatu ya uwekezaji ambayo unaona yakiwekwa na Magufuli yataleta tija kwa Taifa
1.
2.
3.
Wanapita humu ni vema usiishie kuraumu na kupiga kelele bila kueleza mchango wako wa mawazo.
Kma misamaha ya kodi wanapewa .
Serikali inamfumo ambao ukiutazama unampendelea mwekezaji kuliko machinga
Mwekezaji anapata msamaha wa kodi kwa mtaji wake mkubwa
Machinga wa nchi hii anatozwa kodi siku ya kwanza anapotaka kuanza biashara yake...hapewi hata mwaka wa kujitizamia ....kama atapata Faida au la.
Leseni ya biashara
Pango la frem
Ukarabati
Umeme
Maji
Ulinzi
Usafi
Bado nyaraka nyingine ambazo kuzipata ni. Kazi kwelikweli.
Bado ana miaka zaid ya 20 madarakan. Labda atabadili huko mbelenSasa kashindwa Sukari tu ataweza mengine?