Bas sawaDANGOTE aliamua kuzima mitambo yako kutokana na changamoto ya umeme/ Gas lakini nasikia serikali wamempa Umeme nasikia kuanzia tarehe 10 atawasha mitambo bei itapungua
Kwani hapa kakosa nini?Dangote kaenda Zambia... Angalau huko wanajielewa.... Huku kaona mnazingua maana hata dira hamna.... Mtu akilala akiamka anaropoka tu anavyojiskia kama nchi ya kwake hii.... Hata magari yake mengi kayaamishia Zambia
Itakuwa kakosa sera bora na utawala makini.Kwani hapa kakosa nini?
Ukiona hivo uchumi unakuwaBei ya cement tulinunua kwa Tsh 10000/=@bags hadi dec mwaka 2017, nashitushwa sahivi imefikia 13500/= hadi 14000/= KURIKONI?
Bei ya nondo size 12mm tulinunua Kwa 13000/Pc 40ft sahivi imefikia hadi 21000/= TATIZO NINI?
Note! Hizi ni bei za dar es salam , huko mkoani itakuwa juu zaidi.
==============
KUNA SHIDA GANI HUKO? DANGOTE MKOMBOZI WETU CEMENT YAKE IMEPOTEA TATIZO NINI?

Viongozi wa Africa ufanana huko nako yatamkuta maamuzi ya siku utegemea na kiongozi kaamkajeDangote kaenda Zambia... Angalau huko wanajielewa.... Huku kaona mnazingua maana hata dira hamna.... Mtu akilala akiamka anaropoka tu anavyojiskia kama nchi ya kwake hii.... Hata magari yake mengi kayaamishia Zambia