Chakochangu
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 2,668
- 2,164
Umeandika kama mkenyaDangote kaenda Zambia... Angalau huko wanajielewa.... Huku kaona mnazingua maana hata dira hamna.... Mtu akilala akiamka anaropoka tu anavyojiskia kama nchi ya kwake hii.... Hata magari yake mengi kayaamishia Zambia
Bei ya maduka ya vifaa vya ujenzi, mkuuHii ni bei ya kiwandani au bei ya jumla, rejareja ni zaidi ya hapo! Yaan sahivi bora ununue nyumba kuriko kujenga
Kwani kule wananunua Kwa kadi ya chama?Kahakiki kwanza kanda ya ziwa kwa waliompigia kura mheshimiwa.
Huenda kule wananunua 5000 alafu wengine mnawajazia gape lililobaki.
Ukiwa na Chuki na Woga, Lazima utakuwa mbishi kwa kila jambo.Hata hili ccm watabisha
Ukiishi tu kule basi ww ulimpigia kura mtukufu wa watukufu so hakuna haja ya kadi ya chama.Kwani kule wananunua Kwa kadi ya chama?
Binadam ni Wa ajabu sana! Na ajabu yake ni unafikiMbona 2009 cement tulinunua17500 hadi 20000 kwetu bado hii ni nafuu.
na bado17,000 nyati cement ..nimeona leo mahali chini ya mkorosho duh nikawazaaaa...mtoa umeniwahi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]MUULIZE RAISI WAWANYONGE NDIYE ATAKWAMBIA MAHALA DANGOTE ALIPO
Lisemwalo lipo.Wanasema ni muhutu [emoji22][emoji22][emoji22]
Duh ni kweri mkuu! Masikini Nchi yangu Tanzania ya v wonderDangote kaenda Zambia... Angalau huko wanajielewa.... Huku kaona mnazingua maana hata dira hamna.... Mtu akilala akiamka anaropoka tu anavyojiskia kama nchi ya kwake hii.... Hata magari yake mengi kayaamishia Zambia
Kwa hiyo wamewasha jana?DANGOTE aliamua kuzima mitambo yako kutokana na changamoto ya umeme/ Gas lakini nasikia serikali wamempa Umeme nasikia kuanzia tarehe 10 atawasha mitambo bei itapungua