Danguro jipya laibuka Mbezi Mwisho, wapangaji wahamishwa kupisha biashara

Obviously familia huna wewe ndio maana huwazi zaidi ya leo!

Unachokiona leo mf; Mbagala Bunju na Chamazi kuwepo makahaba ni zao la watoto waliokulia Sinza na Kinondoni za miaka hiyo zilizokuwa zikisifika kwa biashara hii chafu, siyo ajabu wazazi wa hao makahaba walikuwa na mawazo kama ya kwako walipoona watoto wa wenzao wakifanya haya.
Bunju hakuna danguro mkuu
 
Wakuu

Kwa sasa hili jiji la Dar kila kona hali imeharibika, biashara ya ukahaba imekithiri kwelikweli mpaka kwenye maeneo ambayo hayakufikirika kama siku moja kunaweza kuwa na danguro

Madanguro yanaota kama uyoga kila siku na wenye mamlaka wamekaa kimya as if haya madanguro hayaonekani, hii ni kero kubwa kwa wakazi wa maeneo husika hasa katika makuzi na malezi ya watoto kwani madanguro hayo yanapatikana katika makazi ya watu

Kwa sasa kuna DANGURO kuuubwa limetengezwa maeneo ya Mbezi Mwisho, wananchi na wapangaji wa eneo lile walipewa notsi kuachia vyumba vyao kupisha biashara ya ukahaba

Kwa sasa danguro limekuwa kubwa mno, baa ya Lubumbashi na Kwa GOD zimekuwa chachu ya ukahaba huu.

Imagine lile eneo lote kati ya kwa god na lubumbashi, zile nyumba za kati zote ni madanguro
Eneo lile saa 1 jioni tu makahaba yamejaa wala hayaogopi kitu

Serikali na Jeshi la polisi tunaomba danguro hili lisambaratishwe
Itabid niende kwanza nikaconfirm kwa macho ktk hilo eneo, ntarud na mrejesho [emoji39]
 
Safi sana
 
Ni sahihi. Na serikali ndo wanatakiwa kuhalalisha km nchi nyingine na itawasaidia kukusanya kodi.
Bila kufanya hivyo ndo wanajifanyia popote watoto wanaona mwisho wa siku wanaiga.
Serikali ihalalishe ili ichukiwe na wananchi wake?. Unadhani serikali haisomi alama za nyakati?[emoji3]
 
Wakuu

Kwa sasa hili jiji la Dar kila kona hali imeharibika, biashara ya ukahaba imekithiri kwelikweli mpaka kwenye maeneo ambayo hayakufikirika kama siku moja kunaweza kuwa na danguro

Madanguro yanaota kama uyoga kila siku na wenye mamlaka wamekaa kimya as if haya madanguro hayaonekani, hii ni kero kubwa kwa wakazi wa maeneo husika hasa katika makuzi na malezi ya watoto kwani madanguro hayo yanapatikana katika makazi ya watu

Kwa sasa kuna DANGURO kuuubwa limetengezwa maeneo ya Mbezi Mwisho, wananchi na wapangaji wa eneo lile walipewa notsi kuachia vyumba vyao kupisha biashara ya ukahaba

Kwa sasa danguro limekuwa kubwa mno, baa ya Lubumbashi na Kwa GOD zimekuwa chachu ya ukahaba huu.

Imagine lile eneo lote kati ya kwa god na lubumbashi, zile nyumba za kati zote ni madanguro
Eneo lile saa 1 jioni tu makahaba yamejaa wala hayaogopi kitu

Serikali na Jeshi la polisi tunaomba danguro hili lisambaratishwe
Mnataka Dar nzima tuishi kilokole siyo?

Impact yake ni mbaya mno. Rahabu bibi yake Yesu hakuwa Muisraeli na alikuwa kahaba maluuni
 
Back
Top Bottom