Danguro jipya laibuka Mbezi Mwisho, wapangaji wahamishwa kupisha biashara

Ma
Wakuu

Kwa sasa hili jiji la Dar kila kona hali imeharibika, biashara ya ukahaba imekithiri kwelikweli mpaka kwenye maeneo ambayo hayakufikirika kama siku moja kunaweza kuwa na danguro

Madanguro yanaota kama uyoga kila siku na wenye mamlaka wamekaa kimya as if haya madanguro hayaonekani, hii ni kero kubwa kwa wakazi wa maeneo husika hasa katika makuzi na malezi ya watoto kwani madanguro hayo yanapatikana katika makazi ya watu

Kwa sasa kuna DANGURO kuuubwa limetengezwa maeneo ya Mbezi Mwisho, wananchi na wapangaji wa eneo lile walipewa notsi kuachia vyumba vyao kupisha biashara ya ukahaba

Kwa sasa danguro limekuwa kubwa mno, baa ya Lubumbashi na Kwa GOD zimekuwa chachu ya ukahaba huu.

Imagine lile eneo lote kati ya kwa god na lubumbashi, zile nyumba za kati zote ni madanguro
Eneo lile saa 1 jioni tu makahaba yamejaa wala hayaogopi kitu

Serikali na Jeshi la polisi tunaomba danguro hili lisambaratishwe
Eneo lenye makahaba ujue kuna wanunuzi!!
 
Obviously familia huna wewe ndo maana huwazi zaidi ya leo!

Unachokiona leo mf;Mbagala Bunju na Chamazi kuwepo makahaba ni zao la watoto waliokulia Sinza na Kinondoni za miaka hiyo zilizokuwa zikisifika kwa biashara hii chafu,siyo ajabu wazazi wa hao makahaba walikuwa na mawazo kama ya kwako walipoona watoto wa wenzao wakifanya haya.
Umenena vyema mkuu! Hali ni mbaya sana
 
Mimi nimetembelea hapo leo nilichoona ni bar chafuchafu yenye wahudumu wabovu, huko ndani wateja wanaonekana ni lowlife ama wale wanaooteaga hela siku moja moja. Ndani kuna wamama wana watoto wanakaa huko kwenye viti hasa kule nyuma karibu na choo cha wanawake. Kuna masupu supu yale ya walevi wa gongo. Hapo ndani utaona malaya wawili watatu waliojichokea. Kwa nje kuna guest ya lubumbashi na wilo zinatazamana, utaona wanaume wakiingia na kutoka.
Inshort sio mahali penye hadhi ya kutafuna mbususu mi na ukware wangu wote sijatamani kugusa hizo takataka
Shukrani mzee. Hapo hapanifai. Nakomaa na Riverside na Sinza.
 
Attachments

  • IMG_20220918_220955.jpg
    IMG_20220918_220955.jpg
    36.8 KB · Views: 37
Ukahaba ni worldwide na sababu sio kuishi sinza au magomeni.

Ni biashara ambayo haitakuja kuisha labda yesu arudi.

Serikali ihalishe kuwe na maeneo special ili kuepuka kufanyika kwenye makazi ya watu. Huku kujifanya mnafata maadili ndo watu wanafanyia popote pale.
Hata wizi na mauaji yalikuwepo tangu Yesu yupo, ila haviwezi kuhalalishwa sababu eti vipo dunia nzima na havitakwisha. Ukahaba prostitution ni kosa la jinai kwa mujibu wa sheria za Tz na washughulikiwe kama wahalifu wengine panya road. Msilete hoja za kuhalalisha maovu ktk jamii.
 
Ukahaba wanaoweza kupelekea ukahalalisha ni Feminist. Hata ulaya ulipingwa mno kama ilivyotokea kwa pregnancy r termination tu. Kuna muda ukifika hili la ukahaba litabeba picha kama hii ya kamari Kwa Sasa (KUBETI). TULIPE mda tu
 
Wakuu

Kwa sasa hili jiji la Dar kila kona hali imeharibika, biashara ya ukahaba imekithiri kwelikweli mpaka kwenye maeneo ambayo hayakufikirika kama siku moja kunaweza kuwa na danguro

Madanguro yanaota kama uyoga kila siku na wenye mamlaka wamekaa kimya as if haya madanguro hayaonekani, hii ni kero kubwa kwa wakazi wa maeneo husika hasa katika makuzi na malezi ya watoto kwani madanguro hayo yanapatikana katika makazi ya watu

Kwa sasa kuna DANGURO kuuubwa limetengezwa maeneo ya Mbezi Mwisho, wananchi na wapangaji wa eneo lile walipewa notsi kuachia vyumba vyao kupisha biashara ya ukahaba

Kwa sasa danguro limekuwa kubwa mno, baa ya Lubumbashi na Kwa GOD zimekuwa chachu ya ukahaba huu.

Imagine lile eneo lote kati ya kwa god na lubumbashi, zile nyumba za kati zote ni madanguro
Eneo lile saa 1 jioni tu makahaba yamejaa wala hayaogopi kitu

Serikali na Jeshi la polisi tunaomba danguro hili lisambaratishwe
Oy picha zipo wapi?
 
Hata wizi na mauaji yalikuwepo tangu Yesu yupo, ila haviwezi kuhalalishwa sababu eti vipo dunia nzima na havitakwisha. Ukahaba prostitution ni kosa la jinai kwa mujibu wa sheria za Tz na washughulikiwe kama wahalifu wengine panya road. Msilete hoja za kuhalalisha maovu ktk jamii.
Time will tell
 
Back
Top Bottom