Bunju hakuna danguro mkuuObviously familia huna wewe ndio maana huwazi zaidi ya leo!
Unachokiona leo mf; Mbagala Bunju na Chamazi kuwepo makahaba ni zao la watoto waliokulia Sinza na Kinondoni za miaka hiyo zilizokuwa zikisifika kwa biashara hii chafu, siyo ajabu wazazi wa hao makahaba walikuwa na mawazo kama ya kwako walipoona watoto wa wenzao wakifanya haya.
[emoji3][emoji3][emoji3] Eti Rosie Matako, umalaya nomaNapajua hapo mkuu ni hatari sna[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Itabid niende kwanza nikaconfirm kwa macho ktk hilo eneo, ntarud na mrejesho [emoji39]Wakuu
Kwa sasa hili jiji la Dar kila kona hali imeharibika, biashara ya ukahaba imekithiri kwelikweli mpaka kwenye maeneo ambayo hayakufikirika kama siku moja kunaweza kuwa na danguro
Madanguro yanaota kama uyoga kila siku na wenye mamlaka wamekaa kimya as if haya madanguro hayaonekani, hii ni kero kubwa kwa wakazi wa maeneo husika hasa katika makuzi na malezi ya watoto kwani madanguro hayo yanapatikana katika makazi ya watu
Kwa sasa kuna DANGURO kuuubwa limetengezwa maeneo ya Mbezi Mwisho, wananchi na wapangaji wa eneo lile walipewa notsi kuachia vyumba vyao kupisha biashara ya ukahaba
Kwa sasa danguro limekuwa kubwa mno, baa ya Lubumbashi na Kwa GOD zimekuwa chachu ya ukahaba huu.
Imagine lile eneo lote kati ya kwa god na lubumbashi, zile nyumba za kati zote ni madanguro
Eneo lile saa 1 jioni tu makahaba yamejaa wala hayaogopi kitu
Serikali na Jeshi la polisi tunaomba danguro hili lisambaratishwe
Safi sanaWakuu

Serikali ihalalishe ili ichukiwe na wananchi wake?. Unadhani serikali haisomi alama za nyakati?[emoji3]Ni sahihi. Na serikali ndo wanatakiwa kuhalalisha km nchi nyingine na itawasaidia kukusanya kodi.
Bila kufanya hivyo ndo wanajifanyia popote watoto wanaona mwisho wa siku wanaiga.
Serikali ishaingilia sasa, tuone nani atawalisha au watakufa njaaSerikali ikishaingilia utawalisha? Infect acha watu waishi kama wanavyoona inafaa.
Mnataka Dar nzima tuishi kilokole siyo?Wakuu