Danguro jipya laibuka Mbezi Mwisho, wapangaji wahamishwa kupisha biashara

Kwasababu wateja mpo.

Wanaume mmezidi sana.
 
Yaani nyuchi za watu wewe ndo uzipangie? Ndoa haziwezi kupunguza ukahaba...wateja wakuu ni walio na ndoa zao
Huu utafiti naomba unipatie pm tunaweza kupiga hela
 
Serikali ikishaingilia utawalisha? Infect acha watu waishi kama wanavyoona inafaa.
Kila mtu akiishi anavyoona inafaa then maelewano na amani itatokea wapi?
Wewe ni kenge, au unakataa?
KENGE MMOJA.

Kama umekasirika na kupanic baada ya mimi kukuita kenge basi huo ndio umuhimu wa kuishi kwa ustaarabu na makubaliano na ndio maana kuna sheria za nchi ambazo hutakiwi kuzivunja au utaadhibiwa.
Otherwise usinilaumu mimi kukuita kenge sababu naishi vile ninavyoona inafaa hata nikiwa kero na chukizo kwako.

Adios.
 
Asante kwa taarifa mkuu ubarikiwe sana[emoji120]
Vipi bei zao zinaanzia ngapi?
Ngoja weekend hii nikija Dar kuleta mzigo wa majeneza ntakuja pande hizo kuhakikisha kama ni kweli
 
Lipia Tangazo.Halafu sijui mnashida gani na hawa wakina dada.Kuwao hamtaki,Kuwahalalishia biashara walipe kodi hamtaki.Sasa sijui mnataka nini.Anyway Nafikiri kwa GOD na Lubumbashi kutabamba zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…