Daniel Anthony maarufu kama “Jay Boogie” mtetezi wa LGBTQI barani Afrika

Hivi nyeti zao zinakuwepo au zinatolewa maana hapo kama demu kabisa
 
Onesha sehemu nimepiga promo mkuu! Ama ndio ile unatafuta hoja ya kuonekana uko bora zaidi!?
Kitendo cha kumuanzishia uzi tu ni kumpa promo,

Ni wangapi humu walikua hawamjui ila watamjua kupitia huu Uzi wako? Mimi ndio nimemjulia hapa,

Acha kufuatilia machoko,au endelea kuwafuatilia ila usiwafanyie promo hapa.
 
Ukiwa na maana kwamba watu wanaoleta uzi kuhusu athari za malaya na makahaba ndio wanafanya watu wasiojua kuhusu makahaba wawe na msisimko wa kutafuta?!
Ukiwa na maana kwamba watu wakileta uzi kuhusu uchawi ni kupiga promo kuhusu uchawi!?
 
Jitoe tu ufahamu ila acha kuwapigia promo machoko.
 
Dah si mchezo ko jamaa ameamua kuwa mwanamke wa kutoa back siti
 
Nipo na 🍿 nasoma comments tyuuh! Lol
😂😂😂😂😂
 
Machoko soko lao linazidi kupanda na wale wakina Asha mapozi wanazidi kushuka thamani

Eeh Mungu saidia kizazi hichi cha kijidigitali
 
Back
Top Bottom