Daniel Anthony maarufu kama “Jay Boogie” mtetezi wa LGBTQI barani Afrika

Mkuu msukumo wa kufyeka kitendea kazi chake umesababishwa na hao hao wanaume, hapo kwenye utimamu siwezi pasemea, atapata ingekuwa hakuna asingefanya hiyo eksipensivu sujaree.
Hivi amefanya surgery kabisa ya kuondoa uume?

Jesus Christ 🙌

Kwahiyo hizi Kei zote tumeachiwa akina Mzee Grahams peke yetu 🤗

Mungu awasaidie kuwapa ufahamu Vijana wetu wa kiume

Otherwise, mbele ni Giza tupu
 
Kazi kwako unakula kile roho inataka 😜😜 haya mambo haya halafu sasa kama nchi za watu huko young people huwa wana freedom ya ovyo so wanaanza hizi procedures mapema kabla akili hazijakomaa
 
Daniel Anthony, kijana kutoka Nigeria ambaye anafahamika zaidi kwa jina la kisanii “Jay Boogie”, ameibua mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kutangaza waziwazi kuwa anajivunia kusimama kama mtetezi wa jumuiya ya watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja (LGBTQI) barani Afrika.
View attachment 3447322
Jay Boogie ameonekana kufuata nyayo za Bobrisky, ambaye kwa muda mrefu amekuwa akihusiana na umaarufu mkubwa kama shoga maarufu zaidi barani Afrika. Hata hivyo, tofauti yake kubwa ni kwamba amefanyia mwili wake mabadiliko makubwa sana yanayomfanya afanane zaidi na mwanamke, jambo ambalo limezua gumzo kubwa na kuibua mijadala mitandaoni.
View attachment 3447323
Ukisikia kauli ya kwamba MTOTO WA KIUME ni Endangered Species ni kweli kwa 100%, mzee baba kaona uvivu wa kushughulikia vipochi na kutoa makamasi mengi, kaona aende upande wa pili.
View attachment 3447324
Kama umeshalewa pombe na umepoteza network unaweza kubeba chombo ukidhani ni pisi kali kumbe umelala na kidume mwenzio.
Hii itakuwa taarifa ya msemaji wa serikali kututoa kwenye reli

Ameibua mijadala mikubwa, ameiubua wapi ??? Mbona hatuwajui hao ma gei?

Ma celebrity na mapunga ya Nigeria sio maarufu kila nchi, nendeni mkajadilianeni nayo huko huko mnakowatafutaga

Gei liko Nigeria, hatulijui, hatujawahi kuliona, huku litatuhusu nini ?

Bado tuko na Rostam, na Kikwete, na GSM, na Abduli na Mama yake, na Kamanda Muliro na IGP na akaunti zake za 2 billion shilling.
 
Daniel Anthony, kijana kutoka Nigeria ambaye anafahamika zaidi kwa jina la kisanii “Jay Boogie”, ameibua mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kutangaza waziwazi kuwa anajivunia kusimama kama mtetezi wa jumuiya ya watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja (LGBTQI) barani Afrika.
View attachment 3447322
Jay Boogie ameonekana kufuata nyayo za Bobrisky, ambaye kwa muda mrefu amekuwa akihusiana na umaarufu mkubwa kama shoga maarufu zaidi barani Afrika. Hata hivyo, tofauti yake kubwa ni kwamba amefanyia mwili wake mabadiliko makubwa sana yanayomfanya afanane zaidi na mwanamke, jambo ambalo limezua gumzo kubwa na kuibua mijadala mitandaoni.
View attachment 3447323
Ukisikia kauli ya kwamba MTOTO WA KIUME ni Endangered Species ni kweli kwa 100%, mzee baba kaona uvivu wa kushughulikia vipochi na kutoa makamasi mengi, kaona aende upande wa pili.
View attachment 3447324
Kama umeshalewa pombe na umepoteza network unaweza kubeba chombo ukidhani ni pisi kali kumbe umelala na kidume mwenzio.
Huko Nigeria nako kumechangamka kwenye haya mambo.
 
Kazi kwako unakula kile roho inataka 😜😜 haya mambo haya halafu sasa kama nchi za watu huko young people huwa wana freedom ya ovyo so wanaanza hizi procedures mapema kabla akili hazijakomaa
Duh Mungu atusaidie hayo mambo yasifike huku kwetu

Maana ni hatari Kwa mustakabali wa Taifa letu
 
Daniel Anthony, kijana kutoka Nigeria ambaye anafahamika zaidi kwa jina la kisanii “Jay Boogie”, ameibua mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kutangaza waziwazi kuwa anajivunia kusimama kama mtetezi wa jumuiya ya watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja (LGBTQI) barani Afrika.
View attachment 3447322
Jay Boogie ameonekana kufuata nyayo za Bobrisky, ambaye kwa muda mrefu amekuwa akihusiana na umaarufu mkubwa kama shoga maarufu zaidi barani Afrika. Hata hivyo, tofauti yake kubwa ni kwamba amefanyia mwili wake mabadiliko makubwa sana yanayomfanya afanane zaidi na mwanamke, jambo ambalo limezua gumzo kubwa na kuibua mijadala mitandaoni.
View attachment 3447323
Ukisikia kauli ya kwamba MTOTO WA KIUME ni Endangered Species ni kweli kwa 100%, mzee baba kaona uvivu wa kushughulikia vipochi na kutoa makamasi mengi, kaona aende upande wa pili.
View attachment 3447324
Kama umeshalewa pombe na umepoteza network unaweza kubeba chombo ukidhani ni pisi kali kumbe umelala na kidume mwenzio.
Kwamba huyu ni man au picha siyo zenyewe?
 
Kwahiyo shoga siku hizi anawekwa kundi la Wasanii?
 
Astakafirula
 
Back
Top Bottom