Daniel Anthony maarufu kama “Jay Boogie” mtetezi wa LGBTQI barani Afrika

Daniel Anthony maarufu kama “Jay Boogie” mtetezi wa LGBTQI barani Afrika

Jitu liko kama mwanamke ila halina papuchi, unaweza ukalipiga vibaya likafie mbali kama ulilibeba ukalipeleka geto kulinyandua unakuta halina kipochi
 
Hivi inakuaje hadi mwanaume unatamani kuwa shoga, hutaki tena kuitwa baba🤔
 
Mimi huyu bila pombe mbona namtaman kabsa sema kwakua najua ni dume s*enge ndo aiwez vitamin ila nisingekua najua ningelitaman
 
Wewe bwabwa nishakwambia mimi Sina shida hicho kimviringo chako

Tafuta mume uolewe ubebe na mimba uzae kabisa
Acha kujishaua,umeshajulikana kua wewe ni Bwabwa,huwezi kuubadili ukweli kwa hizo ngonjera za kitoto,

Wazazi wako wana hasara kubwa sana kuzaa *****.
 
Daniel Anthony, kijana kutoka Nigeria ambaye anafahamika zaidi kwa jina la kisanii “Jay Boogie”, ameibua mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kutangaza waziwazi kuwa anajivunia kusimama kama mtetezi wa jumuiya ya watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja (LGBTQI) barani Afrika.
View attachment 3447322
Jay Boogie ameonekana kufuata nyayo za Bobrisky, ambaye kwa muda mrefu amekuwa akihusiana na umaarufu mkubwa kama shoga maarufu zaidi barani Afrika. Hata hivyo, tofauti yake kubwa ni kwamba amefanyia mwili wake mabadiliko makubwa sana yanayomfanya afanane zaidi na mwanamke, jambo ambalo limezua gumzo kubwa na kuibua mijadala mitandaoni.
View attachment 3447323
Ukisikia kauli ya kwamba MTOTO WA KIUME ni Endangered Species ni kweli kwa 100%, mzee baba kaona uvivu wa kushughulikia vipochi na kutoa makamasi mengi, kaona aende upande wa pili.
View attachment 3447324
Kama umeshalewa pombe na umepoteza network unaweza kubeba chombo ukidhani ni pisi kali kumbe umelala na kidume mwenzio.
Huyu ukimtoa hilo Wigi, kucha ukamnawisha na uso hizo make up utakimbia....hahahah
 
Hivi hawa wenzetu wameshafikiria maisha yao ya Uzeeni yatakavyokuwa?

Hakuna Mwanaume mwenye akili zake timamu akaacha Kuoa Mwanamke akaenda Kuoa hao watu ambao ni kinyume na asili
Mkuu msukumo wa kufyeka kitendea kazi chake umesababishwa na hao hao wanaume, hapo kwenye utimamu siwezi pasemea, atapata ingekuwa hakuna asingefanya hiyo eksipensivu sujaree.
 
Back
Top Bottom