Hivi amefanya surgery kabisa ya kuondoa uume?Mkuu msukumo wa kufyeka kitendea kazi chake umesababishwa na hao hao wanaume, hapo kwenye utimamu siwezi pasemea, atapata ingekuwa hakuna asingefanya hiyo eksipensivu sujaree.
Kazi kwako unakula kile roho inataka 😜😜 haya mambo haya halafu sasa kama nchi za watu huko young people huwa wana freedom ya ovyo so wanaanza hizi procedures mapema kabla akili hazijakomaaHivi amefanya surgery kabisa ya kuondoa uume?
Jesus Christ 🙌
Kwahiyo hizi Kei zote tumeachiwa akina Mzee Grahams peke yetu 🤗
Mungu awasaidie kuwapa ufahamu Vijana wetu wa kiume
Otherwise, mbele ni Giza tupu
Hii itakuwa taarifa ya msemaji wa serikali kututoa kwenye reliDaniel Anthony, kijana kutoka Nigeria ambaye anafahamika zaidi kwa jina la kisanii “Jay Boogie”, ameibua mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kutangaza waziwazi kuwa anajivunia kusimama kama mtetezi wa jumuiya ya watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja (LGBTQI) barani Afrika.
View attachment 3447322
Jay Boogie ameonekana kufuata nyayo za Bobrisky, ambaye kwa muda mrefu amekuwa akihusiana na umaarufu mkubwa kama shoga maarufu zaidi barani Afrika. Hata hivyo, tofauti yake kubwa ni kwamba amefanyia mwili wake mabadiliko makubwa sana yanayomfanya afanane zaidi na mwanamke, jambo ambalo limezua gumzo kubwa na kuibua mijadala mitandaoni.
View attachment 3447323
Ukisikia kauli ya kwamba MTOTO WA KIUME ni Endangered Species ni kweli kwa 100%, mzee baba kaona uvivu wa kushughulikia vipochi na kutoa makamasi mengi, kaona aende upande wa pili.
View attachment 3447324
Kama umeshalewa pombe na umepoteza network unaweza kubeba chombo ukidhani ni pisi kali kumbe umelala na kidume mwenzio.
Huko Nigeria nako kumechangamka kwenye haya mambo.Daniel Anthony, kijana kutoka Nigeria ambaye anafahamika zaidi kwa jina la kisanii “Jay Boogie”, ameibua mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kutangaza waziwazi kuwa anajivunia kusimama kama mtetezi wa jumuiya ya watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja (LGBTQI) barani Afrika.
View attachment 3447322
Jay Boogie ameonekana kufuata nyayo za Bobrisky, ambaye kwa muda mrefu amekuwa akihusiana na umaarufu mkubwa kama shoga maarufu zaidi barani Afrika. Hata hivyo, tofauti yake kubwa ni kwamba amefanyia mwili wake mabadiliko makubwa sana yanayomfanya afanane zaidi na mwanamke, jambo ambalo limezua gumzo kubwa na kuibua mijadala mitandaoni.
View attachment 3447323
Ukisikia kauli ya kwamba MTOTO WA KIUME ni Endangered Species ni kweli kwa 100%, mzee baba kaona uvivu wa kushughulikia vipochi na kutoa makamasi mengi, kaona aende upande wa pili.
View attachment 3447324
Kama umeshalewa pombe na umepoteza network unaweza kubeba chombo ukidhani ni pisi kali kumbe umelala na kidume mwenzio.
Duh Mungu atusaidie hayo mambo yasifike huku kwetuKazi kwako unakula kile roho inataka 😜😜 haya mambo haya halafu sasa kama nchi za watu huko young people huwa wana freedom ya ovyo so wanaanza hizi procedures mapema kabla akili hazijakomaa
Kwamba huyu ni man au picha siyo zenyewe?Daniel Anthony, kijana kutoka Nigeria ambaye anafahamika zaidi kwa jina la kisanii “Jay Boogie”, ameibua mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kutangaza waziwazi kuwa anajivunia kusimama kama mtetezi wa jumuiya ya watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja (LGBTQI) barani Afrika.
View attachment 3447322
Jay Boogie ameonekana kufuata nyayo za Bobrisky, ambaye kwa muda mrefu amekuwa akihusiana na umaarufu mkubwa kama shoga maarufu zaidi barani Afrika. Hata hivyo, tofauti yake kubwa ni kwamba amefanyia mwili wake mabadiliko makubwa sana yanayomfanya afanane zaidi na mwanamke, jambo ambalo limezua gumzo kubwa na kuibua mijadala mitandaoni.
View attachment 3447323
Ukisikia kauli ya kwamba MTOTO WA KIUME ni Endangered Species ni kweli kwa 100%, mzee baba kaona uvivu wa kushughulikia vipochi na kutoa makamasi mengi, kaona aende upande wa pili.
View attachment 3447324
Kama umeshalewa pombe na umepoteza network unaweza kubeba chombo ukidhani ni pisi kali kumbe umelala na kidume mwenzio.
Kwahiyo shoga siku hizi anawekwa kundi la Wasanii?Daniel Anthony, kijana kutoka Nigeria ambaye anafahamika zaidi kwa jina la kisanii “Jay Boogie”, ameibua mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kutangaza waziwazi kuwa anajivunia kusimama kama mtetezi wa jumuiya ya watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja (LGBTQI) barani Afrika.
View attachment 3447322
Jay Boogie ameonekana kufuata nyayo za Bobrisky, ambaye kwa muda mrefu amekuwa akihusiana na umaarufu mkubwa kama shoga maarufu zaidi barani Afrika. Hata hivyo, tofauti yake kubwa ni kwamba amefanyia mwili wake mabadiliko makubwa sana yanayomfanya afanane zaidi na mwanamke, jambo ambalo limezua gumzo kubwa na kuibua mijadala mitandaoni.
View attachment 3447323
Ukisikia kauli ya kwamba MTOTO WA KIUME ni Endangered Species ni kweli kwa 100%, mzee baba kaona uvivu wa kushughulikia vipochi na kutoa makamasi mengi, kaona aende upande wa pili.
View attachment 3447324
Kama umeshalewa pombe na umepoteza network unaweza kubeba chombo ukidhani ni pisi kali kumbe umelala na kidume mwenzio.
AstakafirulaDaniel Anthony, kijana kutoka Nigeria ambaye anafahamika zaidi kwa jina la kisanii “Jay Boogie”, ameibua mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kutangaza waziwazi kuwa anajivunia kusimama kama mtetezi wa jumuiya ya watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja (LGBTQI) barani Afrika.