Hayo ni maneno ya kuwapooza team dictator na Ile gang. Ila matendo ndiyo kama hivi. Mpaka CC utaons mambo huko. Tusubiri matokeo. Nina imani kubwa na mama. Tumpe muda Mkuu.Kishasema yeye na dhalimu ni kitu kimoja hivyo tusitegemee lolote la maana na Kikwete alitamka hadharani kwamba ccm kuna mafisi.
Napinga Chongolo hafai hiyo nafasi.Take note nilipinga Bashiru kuteuliwa na napinga Chongolo kupewa hiyo nafasiMbona hueleweki, unasifia uteuzi au umenuna?
Wewe nawe. Unawajua wajumbe wa CC au unaongea tu!?Hayo ni maneno ya kuwapooza team dictator na Ile gang. Ila matendo ndiyo kama hivi. Mpaka CC utaons mambo huko. Tusubiri matokeo. Nina imani kubwa na mama. Tumpe muda Mkuu.
Hayo ni maneno ya kuwapooza team dictator na Ile gang. Ila matendo ndiyo kama hivi. Mpaka CC utaons mambo huko. Tusubiri matokeo. Nina imani kubwa na mama. Tumpe muda Mkuu.
Tueleze sasa Mkuu wewe unayejua. Kweli sijui. Kale kakamati kadogo kanaitwaje tena? Sijui Central Commitee au nini tena? Then Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM🤣🤣🤣🤣. Mimi siyo mtaalam wa haya Mambo.Wewe nawe. Unawajua wajumbe wa CC au unaongea tu!?
Hahahhah...mkuu dunia inakwenda kwa kasi sana! Hebu kunywa maji kidogo harafu urudi baadae.
Mkuu kuna mambo mengine ni sensitive sana kuyasemea haraka. Ataenda nayo taratibu akishapata uongozi wake wa Chama. Serikali tayari japo najua bado ataingia maeneo. Tumpe muda tuone. Hao Covid19 najua suluhu itapatikana na kuna dalili wataunga juhudi.Kama kapata kigugumuzi kuhusu katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi na wale COVID-19 basi ujue hana jipya huyo uongo mwanzo mwisho, kulembua macho na KUDEMKA kati ya Dom, Dar na Zenj ndiyo mbele kwa mbele.
Wewe si kibaka tu, unajua nini zaidi ya kumsifia marehemu?Napinga Chongolo hafai hiyo nafasi.Take note nilipinga Bashiru kuteuliwa na napinga Chongolo kupewa hiyo nafasi
Nyalandu alikuwa outsider ndiyo maana tulimnyima kura kugombea Urais. Chadema ipo tena ipo sana. Kwa mataahira tu ndiyo wanaona kama wewesASA CHADEMA MRUDI KUPIGA MZIKI BILICANAS MAANA ZITTO NDIYO KAMBI RASMI YA UPINZANI 2025.MLIBISHA KUWA CHAMA HAKIFI NYALANDU KAONDOKA NA SIRI ZOTE.CHEZEA CCM
yaani konda boy kila sehemu huwa amenyea kambi...., kwa VP mpango alinyeaga kambi wakati anamkoromea inshu ya makontena yake bandarini kodi..., haya huku tena kwa SG Chogolo alishamkoromeaga....kwa PM Maja pia alishanyeaga kambi....Huyu SG wa CCM mpya nakumbuka enzi makonda ni RC amewahi kumkoromea live...now kibao kimegeuka.. kweli hujafa hujaumbika.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahhah...mkuu dunia inakwenda kwa kasi sana! Hebu kunywa maji kidogo harafu urudi baadae.
Hehehe
Ila hapo kwa Shaka, panatia shaka kweli kweli kutokana na kale kamchezo sidhani kama atakuwa ameacha. Na ile ndoa kule Mombasa hatima yake ikoje?
Mshikaji amekulia eneo fulani linaitwa Twico kwenye kiwanda cha mbao cha Sao hill- Mafinga.DANIEL CHONGOLO APENDEKEZWA KUWA KATIBU MKUU CCM
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia Suluhu Hassan amempendekeza Ndg. Daniel Chongolo kuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho
Kwa sasa, Chongolo ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar.
Mbona unajichanganya sana? Mara uposti kikatuni mara hivi.Kishasema yeye na dhalimu ni kitu kimoja hivyo tusitegemee lolote la maana na Kikwete alitamka hadharani kwamba ccm kuna mafisi.