Daniel Chongolo awa Katibu Mkuu CCM

Daniel Chongolo awa Katibu Mkuu CCM

Kishasema yeye na dhalimu ni kitu kimoja hivyo tusitegemee lolote la maana na Kikwete alitamka hadharani kwamba ccm kuna mafisi.
Hayo ni maneno ya kuwapooza team dictator na Ile gang. Ila matendo ndiyo kama hivi. Mpaka CC utaons mambo huko. Tusubiri matokeo. Nina imani kubwa na mama. Tumpe muda Mkuu.
 
Hayo ni maneno ya kuwapooza team dictator na Ile gang. Ila matendo ndiyo kama hivi. Mpaka CC utaons mambo huko. Tusubiri matokeo. Nina imani kubwa na mama. Tumpe muda Mkuu.
Wewe nawe. Unawajua wajumbe wa CC au unaongea tu!?
 
Kama kapata kigugumuzi kuhusu katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi na wale COVID-19 basi ujue hana jipya huyo uongo mwanzo mwisho, kulembua macho na KUDEMKA kati ya Dom, Dar na Zenj ndiyo mbele kwa mbele.

Tueleze sasa Mkuu wewe unayejua. Kweli sijui. Kale kakamati kadogo kanaitwaje tena? Sijui Central Commitee au nini tena? Then Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM🤣🤣🤣🤣. Mimi siyo mtaalam wa haya Mambo.
 
DANIEL GODFREY CHONGOLO Alikuwa Makao Makuu ya Chama Enzi Ya Akina Nape, Chongolo alikuwa Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano kwa Umma kilichokuwa chini ya idara ya Sera na Uenezi(Kitengo cha Propaganda).
 
Kama kapata kigugumuzi kuhusu katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi na wale COVID-19 basi ujue hana jipya huyo uongo mwanzo mwisho, kulembua macho na KUDEMKA kati ya Dom, Dar na Zenj ndiyo mbele kwa mbele.
Mkuu kuna mambo mengine ni sensitive sana kuyasemea haraka. Ataenda nayo taratibu akishapata uongozi wake wa Chama. Serikali tayari japo najua bado ataingia maeneo. Tumpe muda tuone. Hao Covid19 najua suluhu itapatikana na kuna dalili wataunga juhudi.
 
sASA CHADEMA MRUDI KUPIGA MZIKI BILICANAS MAANA ZITTO NDIYO KAMBI RASMI YA UPINZANI 2025.MLIBISHA KUWA CHAMA HAKIFI NYALANDU KAONDOKA NA SIRI ZOTE.CHEZEA CCM
Nyalandu alikuwa outsider ndiyo maana tulimnyima kura kugombea Urais. Chadema ipo tena ipo sana. Kwa mataahira tu ndiyo wanaona kama wewe
 
Huyu SG wa CCM mpya nakumbuka enzi makonda ni RC amewahi kumkoromea live...now kibao kimegeuka.. kweli hujafa hujaumbika.
yaani konda boy kila sehemu huwa amenyea kambi...., kwa VP mpango alinyeaga kambi wakati anamkoromea inshu ya makontena yake bandarini kodi..., haya huku tena kwa SG Chogolo alishamkoromeaga....kwa PM Maja pia alishanyeaga kambi....
 
Umofia kwenu ndugu,

Mwenye CV ya katibu mkuu mpya wa CCM ni vema akatuwekea hapa nasi tupate kumjua ndugu Daniel Chongolo aliekuwa mkuu wa wilaya ya kinondoni.

Si mbaya tukapata wasifu wa viongozi wetu.

Ahsanteni.
 
Nimeshangaa sana Mkuu. Ngoja tuangalie Mkuu haya mapicha mapicha.
Ila hapo kwa Shaka, panatia shaka kweli kweli kutokana na kale kamchezo sidhani kama atakuwa ameacha. Na ile ndoa kule Mombasa hatima yake ikoje?
 
DANIEL CHONGOLO APENDEKEZWA KUWA KATIBU MKUU CCM

Mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia Suluhu Hassan amempendekeza Ndg. Daniel Chongolo kuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho

Kwa sasa, Chongolo ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar.

Mshikaji amekulia eneo fulani linaitwa Twico kwenye kiwanda cha mbao cha Sao hill- Mafinga.

Ametoka kwenye media akiwa mwandishi wa habari wa gazeti la Uhuru. Amejitahidi kutatua changamoto za ardhi akiwa Longido kbl ya kuhamishiwa Dar.

Yupo humble, si mtu wa majidai, mwenye uwezo fulani wa kutatua changamoto.

Tukiondoa ujuaji uliopo CCM kwamba wapo wenye CCM yao dogo anaweza kumudu!

KILA LA KHERI
 
Cheo ni SAA ingine kama upepo hivi Bashiru anajisikiaje? Duhh haya maisha kwl usiringe chochote kinaweza kutokea kwa muda wowote yeye yangu Mzee ended zake mkono shavuni tu...ndio maisha...
 
Back
Top Bottom