SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Kosa kurudia kosa. Hakuna namna tungempitisha yule kugombea Urais.Sababu ya upepo wa Lissu, vinginevyo angepewa kugombea. Kwani kwa Lowassa ilikuaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kosa kurudia kosa. Hakuna namna tungempitisha yule kugombea Urais.Sababu ya upepo wa Lissu, vinginevyo angepewa kugombea. Kwani kwa Lowassa ilikuaje?
Kwenye majukumu ya kazi hakunaga mambo ya kujuana. Kujuana nyumbani huko.Wacheni Mungu aitwe Mungu,Makonda aliwahi kumkoromea vibaya sana huyu jamaa, sasa leo hii Makonda alitaka kumuona lazima aombe appointment.View attachment 1769200
Maisha ni Kama gwaride.Huyu SG wa CCM mpya nakumbuka enzi makonda ni RC amewahi kumkoromea live...now kibao kimegeuka.. kweli hujafa hujaumbika.
Kabisa sio kidogo.Kumbe ndo huyu. Basi makonda atakua ameumia sana
YEHODAYA anatoa povu la kufa mtu pumbavu zake, yaani amevulugwa.Kuna watu wamenuna.
Ama nchi kama msemo wenu mlivyozea.Mimi nilipinga uteuzi wa Bashiru Ally waziwazi na humu na napinga uteuzi wa chongolo sio sahihi kabisa .Let every body take note
Mkuu na Nec huwa Ina contain wajumbe gani ufafanuzi plizWajumbe wa CC:-
1.Mwenyekiti
2. Makamu wenyeviti wawili
3. Wenyeviti wa Jumuiya
4. Wakuu wa idara
5. Makamu wa raisi
6. Spika wa bunge wawili
7. Waziri mkuu
.......
Hana usemi kaweka mkono shavuni anmkumbuka mwendazakekwani Bashiru Ally Kakurwa anasemaje?
Muongo yuleNi DC wa Kinondoni. only that
Ooooh kumbe basi ndie aliekuwa boss wa vijana wa buku7, ndio maana kuna mmoja anatoa povu.DANIEL GODFREY CHONGOLO Alikuwa Makao Makuu ya Chama Enzi Ya Akina Nape, Chongolo alikuwa Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano kwa Umma kilichokuwa chini ya idara ya Sera na Uenezi(Kitengo cha Propaganda).
Muongo kivipi?Muongo yule
Daaa yaani nyie!😂😂😂😂hatari Sana.Mpogoro uliipigania kweli hii nafasi ya KM, nakusalimia popote ulipo. Tulisema hufai ukabisha! Chezea fitna wewe! Wabaya wako tunaenda kunywa mvinyo na mdudu leo. Subiri kupangiwa kazi nyingine 😂😂
Weka sababu zenye ushahidi! Vinginevyo ni wivu!Mimi nilipinga uteuzi wa Bashiru Ally waziwazi na humu na napinga uteuzi wa chongolo sio sahihi kabisa .Let every body take note
Unaikumbuka ile post siku ile? 😂 Kazi imeisha!Daaa yaani nyie!😂😂😂😂hatari Sana.
Teuzi za design hii zinashusha hadhi ya vyeo vingine .... Zamani mtu akisikia Katibu Mkuu wa Chama anatetemeka.Napinga Chongolo hafai hiyo nafasi.Take note nilipinga Bashiru kuteuliwa na napinga Chongolo kupewa hiyo nafasi
Watu wabad sana nyie😊😊😊😊Unaikumbuka ile post siku ile? 😂 Kazi imeisha!
sina jina lakini Chongolo no no no noKwanin unapinga? We una fikiri nani anastahili hapo na kwanin