Daniel Chongolo awa Katibu Mkuu CCM

Daniel Chongolo awa Katibu Mkuu CCM

Wajumbe wa CC:-
1.Mwenyekiti
2. Makamu wenyeviti wawili
3. Wenyeviti wa Jumuiya
4. Wakuu wa idara
5. Makamu wa raisi
6. Spika wa bunge wawili
7. Waziri mkuu
.......
Mkuu na Nec huwa Ina contain wajumbe gani ufafanuzi pliz
 
DANIEL GODFREY CHONGOLO Alikuwa Makao Makuu ya Chama Enzi Ya Akina Nape, Chongolo alikuwa Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano kwa Umma kilichokuwa chini ya idara ya Sera na Uenezi(Kitengo cha Propaganda).
Ooooh kumbe basi ndie aliekuwa boss wa vijana wa buku7, ndio maana kuna mmoja anatoa povu.
 
Napinga Chongolo hafai hiyo nafasi.Take note nilipinga Bashiru kuteuliwa na napinga Chongolo kupewa hiyo nafasi
Teuzi za design hii zinashusha hadhi ya vyeo vingine .... Zamani mtu akisikia Katibu Mkuu wa Chama anatetemeka.
 
Mimi sijui ninachokumbuka kuhusu Chongolo ni ile siku alipofokewa na DAUDI ALBERT BASHITE kama mtoto mdogo.

Chongolo alikuwa anamzoom tu dogo Bashite.

Swali hivi Bashite alikuwa anashinda Ikulu kwa baba yake JPM ila alikuwa hajui kuwa Chongolo ni Afisa Kipenyo mwenye cheo cha Senior Officer?

Bashite rudi Kolomije.
 
Back
Top Bottom