Ujinga huu kuwa katika vyombo vya juu vya uongozi wa chama "kilichoteka" whitehouse, kinafikirisha sana hatima ya taifa. This man is an idiot sana. Nani alikuambia maisha ya watu yako pegged kwenye mkate?Katibu mkuu wa CCM hataki Tume Huru ya Uchaguzi kwa sababu haileti chakula! Hivyo anataka kuendelea na tume iliyopo ili CCM iendelee kubaki madarakani kwa sababu anadai Tume Huru ya Uchaguzi ni ya wanasiasa kuwekwa madarakani...
This is foolishness. Kama hajui uhusiano wa siasa safi na ustawi wa maisha ya binadamu, anyamaze. We need more than his level of understanding.
Doomed brains zinajimilkisha uongozi , na kwa kutumia viwango vyake duni vya uelewa zinaweka barriers katika maendeleo ya watu.