Wakati nasoma boom lilikuwa 5000 kwa siku.View attachment 2180867
Mtangazaji maarufu hapa nchini Daniel kijo amesema kuwa boom la chuo likitumika vizuri linaweza leta mafanikio makubwa sana tena sana kwa wanafunzi tofauti na watu wanavyo fikiri!
Amesema yeye alipokuwa chuo alikuwa anatumia hela ya boom kula bata na kununua TV lakini kuna rafiki yake wakaribu ambaye yeye alikuwa ana jibana sana baada ya muda alikwenda kuwaonesha Apartments alizojenga kwa hela ya boom!
Angalizo!
Je wanachuo kwanini mlishindwa kujenga aprtments kama rafiki yake Daniel Kijo?
Ni kweli hela ya boom inaweza jenga apartments hata kijinini kabisa?
kwani tofali moja Tsh ngapi ?Wakati nasoma boom lilikuwa 5000 kwa siku. Hata wangekuwa wnahesabu kuwa tunasoma siku zote kwa mwaka wanatupa pesa ya siku 363 kwa miaka 3 nliokaa chuo ni 5,475,000. Labda awe alizifanyia biashara zikazaana ila kwa hiyo pesa hawezi jenga apartment.
Tuambiane ukweli jamani tuache kuwa ma inspiration speaker wanaotia chumvi
Ukajenga apartment?kwani tofali moja Tsh ngapi ? Boom inajenga kabisa,nimesoma pia chuo wadada na wana wanatumia mi simu ya bei na kununua ma vitu ya ajabu ajabu tu kwa boom
so inawezekana kabisa kwa baadhi ya watu kujenga kwa pesa ya boom hasa wale wanaotoka familia za kipato cha kati.unakuta hategemei hilo boom kuishi
Mkuu,kibongo bongo apartment haina kitu ndani,nimeelewa hoja yako na upo sahihi ila jamaa kazungumzia apartment za kibongo ambazo hakuna kitu ndaniUkajenga apartment? Labda kama unaongelea mbavu za mbwa lakini sio apartmemt ambayo inaisha na unamkaribisha mtu kabisa.
Nakwambia mimi miaka yote mitatu tungekuwa tunalipwa kwa siku zote 363 kwa mwaka kwa moaka miatatu no 5,475,000. H
Full ac ndo uwa najiuliza kwani kuna gari zama hizi hazina ac 🤣🤣mkuu,kibongo bongo apartment haina kitu ndani,nimeelewa hoja yako na upo sahihi ila jamaa kazungumzia apartment za kibongo ambazo hakuna kitu ndani
ni sawa na misemo ya full ac au full documents kwenye matangazo ya magari😂 sasa full documents huwa wanamaanisha nini ? ni misemo tu ya kitanzania
teh teh teh😂 ukiwauliza ni wakali mnoFull ac ndo uwa najiuliza kwani kuna gari zama hizi hazina ac 🤣🤣
huyo jamaa sio kisu cha ngariba kweli??!wakati mwenzenu anajenga nyie mlikua....👇View attachment 2180919
Yaani huyu Daniel Kijo muongo sana.Mmmh...!!! Nyieee kwa Boom gan atoe mchanganuo kwanza na hiy apartment ya alitumia shs ngap kujenga maybe Kam alikua ana 100% kwao walikua wakishua hapo fresh Ila Kam boom Hilo Hilo ulipie ada, Kodi, uvae, ule, bad familia inaangalia hapo hapo huwez fanya chochote naomba nikazie huwezi fanya chochote