tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Huyo ni mpumbavu amesoma kuongeza ujinga,labda alijenga nyumba za mabox....View attachment 2180867
Mtangazaji maarufu hapa nchini Daniel kijo amesema kuwa boom la chuo likitumika vizuri linaweza leta mafanikio makubwa sana tena sana kwa wanafunzi tofauti na watu wanavyo fikiri!
Amesema yeye alipokuwa chuo alikuwa anatumia hela ya boom kula bata na kununua TV lakini kuna rafiki yake wakaribu ambaye yeye alikuwa ana jibana sana baada ya muda alikwenda kuwaonesha Apartments alizojenga kwa hela ya boom!
Angalizo!
Je wanachuo kwanini mlishindwa kujenga aprtments kama rafiki yake Daniel Kijo?
Ni kweli hela ya boom inaweza jenga apartments hata kijinini kabisa?
Ndio maana vijana wakimaliza vyuo wanakua na ndoto za hovyo kwa kuwaamini wajinga kama huyo kijo