Darcyy
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 2,432
- 9,758
He he he acha kabisa. Ni hatariiiWanajua ushaajiriwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He he he acha kabisa. Ni hatariiiWanajua ushaajiriwa
Alikuwa anahojiwa na mtu Ambae Shule Hakwenda.Make hapo kwanza ncheke[emoji1787][emoji1787]
Boom hili hili au kuna lingine?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kupata vichekesho kama hivi tunapiga ngapi vile?[emoji1787][emoji1787]
Hapa tumepigwa tena na kitu chenye ncha kali.Hicho ni kipindi cha mama na mwana?
Sure..tena biashara yenyewe iwe haramu ndio unaingiza pesa chapchapUkajenga apartment?
Labda kama unaongelea mbavu za mbwa lakini sio apartmemt ambayo inaisha na unamkaribisha mtu kabisa.
Nakwambia mimi miaka yote mitatu tungekuwa tunalipwa kwa siku zote 363 kwa mwaka kwa miaka miatatu ni 5,475,000. H
Hivi Hii Haiwezi Kutengenezewa Sticker [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2180944
Au alisoma nje ya Nchi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata km boom haliwezi kujengaa appartment.
Tusidanganyane hapa
Alisoma Miaka ipi Hyo?Danielo Miaka Ile anasoma UDSM boom lilikuwa 2500 hebu atueleze huyo rafiki yake alijengaje apartments?
Vijana wawe wakweli kama alikuwa anaboostiwa na wazazi au anabishara haramu aeleze waache kudanganya
He is a jokerHapa tumepigwa tena na kitu chenye ncha kali.
Pork D, acha ufala [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tunabishana nae mkute hata chuo hajasoma
Ni joker ambae ni mpuuziHe is a joker
HahahaaPork D, acha ufala [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiki alichokisema Kijo nayo ni UOZO wa kufundisha watu ku save baada ya Investment kwanza.Hahahaa
Ndio motivation speakers wenyew haoHiki alichokisema Kijo nayo ni UOZO wa kufundisha watu ku save baada ya Investment kwanza.
Hauwezi fikia malengo
Biashara zote zina faida sana Ukisimuliwa [emoji851]Ndio motivation speakers wenyew hao
View attachment 2180867
Mtangazaji maarufu hapa nchini Daniel kijo amesema kuwa boom la chuo likitumika vizuri linaweza leta mafanikio makubwa sana tena sana kwa wanafunzi tofauti na watu wanavyo fikiri!
Amesema yeye alipokuwa chuo alikuwa anatumia hela ya boom kula bata na kununua TV lakini kuna rafiki yake wakaribu ambaye yeye alikuwa ana jibana sana baada ya muda alikwenda kuwaonesha Apartments alizojenga kwa hela ya boom!
Angalizo!
Je wanachuo kwanini mlishindwa kujenga aprtments kama rafiki yake Daniel Kijo?
Ni kweli hela ya boom inaweza jenga apartments hata kijinini kabisa?

Ni kweli hela ya boom inaweza jenga apartments hata kijinini ka
Inategemea mkoa uliopo mikoa kama mbeya njombe iringa inawezekana lakini sio kwa dar dom arusha ni changamoto sanaView attachment 2180867
Mtangazaji maarufu hapa nchini Daniel kijo amesema kuwa boom la chuo likitumika vizuri linaweza leta mafanikio makubwa sana tena sana kwa wanafunzi tofauti na watu wanavyo fikiri!
Amesema yeye alipokuwa chuo alikuwa anatumia hela ya boom kula bata na kununua TV lakini kuna rafiki yake wakaribu ambaye yeye alikuwa ana jibana sana baada ya muda alikwenda kuwaonesha Apartments alizojenga kwa hela ya boom!
Angalizo!
Je wanachuo kwanini mlishindwa kujenga aprtments kama rafiki yake Daniel Kijo?
Ni kweli hela ya boom inaweza jenga apartments hata kijinini kabisa?
Inategemea unasoma mkoa gani mfano mbeya,iringa,njombe ni rahisi ukijibana,lakini sio kwa mikoa ya arusha dar dom ni changamoto sanaView attachment 2180867
Mtangazaji maarufu hapa nchini Daniel kijo amesema kuwa boom la chuo likitumika vizuri linaweza leta mafanikio makubwa sana tena sana kwa wanafunzi tofauti na watu wanavyo fikiri!
Amesema yeye alipokuwa chuo alikuwa anatumia hela ya boom kula bata na kununua TV lakini kuna rafiki yake wakaribu ambaye yeye alikuwa ana jibana sana baada ya muda alikwenda kuwaonesha Apartments alizojenga kwa hela ya boom!
Angalizo!
Je wanachuo kwanini mlishindwa kujenga aprtments kama rafiki yake Daniel Kijo?
Ni kweli hela ya boom inaweza jenga apartments hata kijinini kabisa?
Kuna case ya hivi ilitokea huko kwetu, hadi kijana alitaka kujiua.Tena familia zengine za kimaskini ni mpaka ugomvi, watu wanaitolea macho pesa ya boom kisa wamesikia kuwa ela ni nyingi mpaka unajengea kabisa.
Ni hatari kwa kweli.