Daniel Kijo: Nilikuwa nina rafiki yangu chuo alijenga Apartments kwa Boom la chuo!

Huu ni uongo mkubwa, tutoleee upuuzi wako hapa. Khaaaah

IMG_0821.jpg
 
Ana akili nyingi, analidhani anahutubia wafuasi wake wa redioni wa mtongni
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
.
Hawa ndio akina Shigongo from Drs la 7 mpaka Degree ya Mascom
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah
 
Wengi wetu tunafikiria vile tunajua,ulizia kwa Bunda 2013-15 hiyo 150,000/= ilikuwa unanunua ng'ombe au beberu? Jamani wote hatuwezi kutumia akili zetu kwa namna moja
Wee mpuuzi nitoleee ujinga wako hapa, kwetu kuna kila mifugo, hiyo 2015 ndama wa ng'ombe ni kuanzia 300k, huyo wako ni wa kuchorwa kwa Masoud Kipanya au? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mchoro masudi Ila assembling ni China+SA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Au mimi sikumsikiliza vizuri. Maana nilisikia kama huyo rafiki ake alitumia hela ya boom kununua ardhi Njiro. Ardhi ambayo baadaye ndiyo alikuja kujenga hizo apartments hapo. Wakati wao wapo busy na bata; rafiki yao alikuwa anajibana sana, kumbe alikuwa anafanya mambo ya msingi kimyakimya.
 
Wee mpuuzi nitoleee ujinga wako hapa, kwetu kuna kila mifugo, hiyo 2015 ndama wa ng'ombe ni kuanzia 300k, huyo wako ni wa kuchorwa kwa Masoud Kipanya au? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Itakuwa mifugo aina ya fisi,kama huna uelewa wa kitu usishupaze shingo.tafuta ushahidi ndo ubishe
 
Dani anajua hii ni chai.....
namuita Pasco Mayala ambae pia amesoma na Dani darasa moja aje averify authenticity ya hii story
 
kwani tofali moja Tsh ngapi ?

Boom inajenga kabisa,nimesoma pia chuo wadada na wana wanatumia mi simu ya bei na kununua ma vitu ya ajabu ajabu tu kwa boom

so inawezekana kabisa kwa baadhi ya watu kujenga kwa pesa ya boom hasa wale wanaotoka familia za kipato cha kati.unakuta hategemei hilo boom kuishi
Sasa hopo utasema boom limejenga Ndugu wakati hulitumii Kwa madhumuni lengwa. Litumie libakie hlafu ijidai Nalo. Ila Kwa upande mwingne Kama una asilimia mia ya ada boom linaweza kukusaidia kufanya kitu Fulani Cha maendeleo
 
Au mimi sikumsikiliza vizuri. Maana nilisikia kama huyo rafiki ake alitumia hela ya boom kununua ardhi Njiro. Ardhi ambayo baadaye ndiyo alikuja kujenga hizo apartments hapo. Wakati wao wapo busy na bata; rafiki yao alikuwa anajibana sana, kumbe alikuwa anafanya mambo ya msingi kimyakimya.
Hapo sasa sawaaah
 
Itakuwa mifugo aina ya fisi,kama huna uelewa wa kitu usishupaze shingo.tafuta ushahidi ndo ubishe
Huna hoja toa ujinga wako hapa, unadhan ndo tutakusifia huku unadanganya kweupee, kwenda huko. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna case ya hivi ilitokea huko kwetu, hadi kijana alitaka kujiua.
Hawa watu wanakera sana. Msieeeew zao.
[emoji28][emoji28] asa sijui baada ya kufa iyo pesa wataipata vipi. Sijui wanahs Huli uko chuo?
 
Au mimi sikumsikiliza vizuri. Maana nilisikia kama huyo rafiki ake alitumia hela ya boom kununua ardhi Njiro. Ardhi ambayo baadaye ndiyo alikuja kujenga hizo apartments hapo. Wakati wao wapo busy na bata; rafiki yao alikuwa anajibana sana, kumbe alikuwa anafanya mambo ya msingi kimyakimya.

Kiwanja njiro Tsh ngapi?
 
Ha ha ha.....
Heading TU nmesoma
Ila Nmejikuta nmecheka sana[emoji4]
 
Nilikuwa na rafiki yangu aliishia tumboni..huko huko akaanzisha kilimo cha matikiti... sasahivi ni tajiri mkubwa anaingiza billioni 2 kwa mwezi!
 
Back
Top Bottom