Daniel Kijo: Nilikuwa nina rafiki yangu chuo alijenga Apartments kwa Boom la chuo!

Yuko sahihi sana japo mnamshambulia na kumkejeli maana hela ile ya boom kwa matumizi ni ndogo sana ila ukijibana ukaitunza nusu kwa semister 2(2Γ—2) halafu ukawekeza pazuri na kujumlisha hela TP 600,000/=kwa tuliosoma Bead ni hela kubwa na kwa wale tuliotoka familia maskini na tuliokuwa tunauchukia umaskini ilituokoa.
Mimi nilipewa mkopo 78% kati ya ada 1,000,000/= nilikuwa nalipa 220,000/= na kwa muda ule {2013-2015} tulikuwa tunapata 450,000Γ—2 kwa semister na ukiongeza semister ya pili 450,000Γ—2 ina maana kwa mwaka wa masomo ni 1,800,000/= hapo tunapewa stationary 200,000/= na TP 600,000/=ambapo tulikuwa tunatafuta shule zinazotoa accomodations
Kwa mwaka mmoja wa masomo nilikuwa nanunua ng`ombe 6 wenye thamani ya 150,000/= kila mmoja na mpaka naingia 2015-2016 ambapo boom lilipanda na kufikia 520,000x4 kwa mwaka wa masomo (2,080,000) tayari nilikuwa na ng'ombe 12 na mwaka wa mwisho nilipamba kutunza hela keshi ambapo nilipata 1,100,000/= ambayo nilipanga nianzie mtaji punde nitakapoingia mtaani
na nipiweza kufanikisha hilo
NILIWEZAJE KUFANYA HIVYO NIKIWA CHUO?
Kwenye miaka yangu yote mitatu niliyokaa chuoni (Udsm) niliishi mabibo hostel ambapo tulikuwa tunashea chumba na wenzangu ambapo gharama ni nafuu lakini pia nilikuwa napiga shuttle pori daily labda itokee dharura ya mvua na kuhusu chakula bajeti yangu ilikuwa ina range 1,800-2,000 ambapo bajeti ya chai niliitoa kabisa maana kwetu sikuwahi kuiona na nilizoea kula mchana tu,hivyo mchana nilikuwa nakula RB mwanzo ilikuwa 600 baadaye ikapanda ikawa 800 na jioni nilikuwa nakula ugali mboga mboga au dagaa ilikuwa 1,000 mtaani (mama kifusi waliokaa mabibo hostel wanamjua).Kwa mfumo kiukweli niliweza kuishi japo ni maisha ya shida chuoni ila huwa nakaa najipiga kifua na kujisemea isingelikuwa CHUO nisingelikuwa naishi maisha haya ya leo.
NILIFANYA NINI BAADA YA CHUO?
Niliingia mtaani bahati nzuri nikaajiriwa kampuni binafsi sep 2016 nikafanya kwa muda wa miezi 6 nikapata uzoefu na nikaona ile kazi naweza kuifanya mwenyewe japo kwa mtaji niliokuwa nao, nilikuwa nilikuwa nalipwa 300,000/= kwa miezi hio linikusanya 700,000/= nikauza wale ng'ombe wangu 10 ambapo nilipata 4,800,000 na nikajumlisha ile akiba ya mwaka wa mwisho japo nilikuwa nimeitumia imebaki 800,000/= ukawa mtaji wangu nikaanza rasmi biashara yangu mwenyewe May 2017.
Kiukweli kwa sasa najiendesha vizuri na sijawahi kupata wazo la kuomba ajira serikalini na kile nachopata kimenipa heshima katika jamii na hata nyumbani kwetu nilishabadilisha maisha ya wazazi kutoka nyumba za nyasi kwenda nyumb za kisasa na siku zote naamini maono ya mtu ndo humfanya aone kidogo kwako ni kikubwa kwake na akakifanya hata kikawa kikubwa machoni pako.
TUSIDHARAU BOOM ILA TUJITHATHMINI MATUMIZI YETU TUWAPO CHUONI
Mbona umetoka nje ya mada mkuu! Af kingine sio kila mtu anaweza kujibana hasa kwenye chakula!
 
Kiwanja njiro Tsh ngapi?
Sijajua kwa wakati wanasoma ilikuwa Tsh ngapi exactly na kama hilo boom ndiyo alili-invest ndiyo likampa hela ya kiwanja au vipi, though kwa Njiro bei za plots zinajulikana zimesimama. Nilichokishika tu kwenye maelezo yake ni kwamba wakati wao wapo busy kuspend mwenzao alikuwa busy kuinvest. Japo inawezekana kuna vitu ali-exaggerate au kwa sababu hakutoa mchanganuo wa jinsi hilo boom lilivyotumika hadi kununua kiwanja na mengineyo baadaye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yuko sahihi sana japo mnamshambulia na kumkejeli maana hela ile ya boom kwa matumizi ni ndogo sana ila ukijibana ukaitunza nusu kwa semister 2(2Γ—2) halafu ukawekeza pazuri na kujumlisha hela TP 600,000/=kwa tuliosoma Bead ni hela kubwa na kwa wale tuliotoka familia maskini na tuliokuwa tunauchukia umaskini ilituokoa.
Mimi nilipewa mkopo 78% kati ya ada 1,000,000/= nilikuwa nalipa 220,000/= na kwa muda ule {2013-2015} tulikuwa tunapata 450,000Γ—2 kwa semister na ukiongeza semister ya pili 450,000Γ—2 ina maana kwa mwaka wa masomo ni 1,800,000/= hapo tunapewa stationary 200,000/= na TP 600,000/=ambapo tulikuwa tunatafuta shule zinazotoa accomodations
Kwa mwaka mmoja wa masomo nilikuwa nanunua ng`ombe 6 wenye thamani ya 150,000/= kila mmoja na mpaka naingia 2015-2016 ambapo boom lilipanda na kufikia 520,000x4 kwa mwaka wa masomo (2,080,000) tayari nilikuwa na ng'ombe 12 na mwaka wa mwisho nilipamba kutunza hela keshi ambapo nilipata 1,100,000/= ambayo nilipanga nianzie mtaji punde nitakapoingia mtaani
na nipiweza kufanikisha hilo
NILIWEZAJE KUFANYA HIVYO NIKIWA CHUO?
Kwenye miaka yangu yote mitatu niliyokaa chuoni (Udsm) niliishi mabibo hostel ambapo tulikuwa tunashea chumba na wenzangu ambapo gharama ni nafuu lakini pia nilikuwa napiga shuttle pori daily labda itokee dharura ya mvua na kuhusu chakula bajeti yangu ilikuwa ina range 1,800-2,000 ambapo bajeti ya chai niliitoa kabisa maana kwetu sikuwahi kuiona na nilizoea kula mchana tu,hivyo mchana nilikuwa nakula RB mwanzo ilikuwa 600 baadaye ikapanda ikawa 800 na jioni nilikuwa nakula ugali mboga mboga au dagaa ilikuwa 1,000 mtaani (mama kifusi waliokaa mabibo hostel wanamjua).Kwa mfumo kiukweli niliweza kuishi japo ni maisha ya shida chuoni ila huwa nakaa najipiga kifua na kujisemea isingelikuwa CHUO nisingelikuwa naishi maisha haya ya leo.
NILIFANYA NINI BAADA YA CHUO?
Niliingia mtaani bahati nzuri nikaajiriwa kampuni binafsi sep 2016 nikafanya kwa muda wa miezi 6 nikapata uzoefu na nikaona ile kazi naweza kuifanya mwenyewe japo kwa mtaji niliokuwa nao, nilikuwa nilikuwa nalipwa 300,000/= kwa miezi hio linikusanya 700,000/= nikauza wale ng'ombe wangu 10 ambapo nilipata 4,800,000 na nikajumlisha ile akiba ya mwaka wa mwisho japo nilikuwa nimeitumia imebaki 800,000/= ukawa mtaji wangu nikaanza rasmi biashara yangu mwenyewe May 2017.
Kiukweli kwa sasa najiendesha vizuri na sijawahi kupata wazo la kuomba ajira serikalini na kile nachopata kimenipa heshima katika jamii na hata nyumbani kwetu nilishabadilisha maisha ya wazazi kutoka nyumba za nyasi kwenda nyumb za kisasa na siku zote naamini maono ya mtu ndo humfanya aone kidogo kwako ni kikubwa kwake na akakifanya hata kikawa kikubwa machoni pako.
TUSIDHARAU BOOM ILA TUJITHATHMINI MATUMIZI YETU TUWAPO CHUONI
Yeye kasema jamaa kajenga apartment wakt ni uwongo,hilo boom linatosha kununua kiwanja kisarawe au chanika huko ndanindani sio kujenga apartments...jamaa ni mrongo halafu anaona ujiko kudanganya
 
Njiro kiwanja cha 2m au 3m hakunaga,njiro imepimwa yote kiwanja huko miaka ya 2000 vilikua kuanzia 15m mpka 40...kuanzia 2010 bei ilipanda kiwanja kidogo 40m...aache urongo labda njiro aliyosema yeye sio hiyo
Au mimi sikumsikiliza vizuri. Maana nilisikia kama huyo rafiki ake alitumia hela ya boom kununua ardhi Njiro. Ardhi ambayo baadaye ndiyo alikuja kujenga hizo apartments hapo. Wakati wao wapo busy na bata; rafiki yao alikuwa anajibana sana, kumbe alikuwa anafanya mambo ya msingi kimyakimya.
 
Yuko sahihi sana japo mnamshambulia na kumkejeli maana hela ile ya boom kwa matumizi ni ndogo sana ila ukijibana ukaitunza nusu kwa semister 2(2Γ—2) halafu ukawekeza pazuri na kujumlisha hela TP 600,000/=kwa tuliosoma Bead ni hela kubwa na kwa wale tuliotoka familia maskini na tuliokuwa tunauchukia umaskini ilituokoa.
Mimi nilipewa mkopo 78% kati ya ada 1,000,000/= nilikuwa nalipa 220,000/= na kwa muda ule {2013-2015} tulikuwa tunapata 450,000Γ—2 kwa semister na ukiongeza semister ya pili 450,000Γ—2 ina maana kwa mwaka wa masomo ni 1,800,000/= hapo tunapewa stationary 200,000/= na TP 600,000/=ambapo tulikuwa tunatafuta shule zinazotoa accomodations
Kwa mwaka mmoja wa masomo nilikuwa nanunua ng`ombe 6 wenye thamani ya 150,000/= kila mmoja na mpaka naingia 2015-2016 ambapo boom lilipanda na kufikia 520,000x4 kwa mwaka wa masomo (2,080,000) tayari nilikuwa na ng'ombe 12 na mwaka wa mwisho nilipamba kutunza hela keshi ambapo nilipata 1,100,000/= ambayo nilipanga nianzie mtaji punde nitakapoingia mtaani
na nipiweza kufanikisha hilo
NILIWEZAJE KUFANYA HIVYO NIKIWA CHUO?
Kwenye miaka yangu yote mitatu niliyokaa chuoni (Udsm) niliishi mabibo hostel ambapo tulikuwa tunashea chumba na wenzangu ambapo gharama ni nafuu lakini pia nilikuwa napiga shuttle pori daily labda itokee dharura ya mvua na kuhusu chakula bajeti yangu ilikuwa ina range 1,800-2,000 ambapo bajeti ya chai niliitoa kabisa maana kwetu sikuwahi kuiona na nilizoea kula mchana tu,hivyo mchana nilikuwa nakula RB mwanzo ilikuwa 600 baadaye ikapanda ikawa 800 na jioni nilikuwa nakula ugali mboga mboga au dagaa ilikuwa 1,000 mtaani (mama kifusi waliokaa mabibo hostel wanamjua).Kwa mfumo kiukweli niliweza kuishi japo ni maisha ya shida chuoni ila huwa nakaa najipiga kifua na kujisemea isingelikuwa CHUO nisingelikuwa naishi maisha haya ya leo.
NILIFANYA NINI BAADA YA CHUO?
Niliingia mtaani bahati nzuri nikaajiriwa kampuni binafsi sep 2016 nikafanya kwa muda wa miezi 6 nikapata uzoefu na nikaona ile kazi naweza kuifanya mwenyewe japo kwa mtaji niliokuwa nao, nilikuwa nilikuwa nalipwa 300,000/= kwa miezi hio linikusanya 700,000/= nikauza wale ng'ombe wangu 10 ambapo nilipata 4,800,000 na nikajumlisha ile akiba ya mwaka wa mwisho japo nilikuwa nimeitumia imebaki 800,000/= ukawa mtaji wangu nikaanza rasmi biashara yangu mwenyewe May 2017.
Kiukweli kwa sasa najiendesha vizuri na sijawahi kupata wazo la kuomba ajira serikalini na kile nachopata kimenipa heshima katika jamii na hata nyumbani kwetu nilishabadilisha maisha ya wazazi kutoka nyumba za nyasi kwenda nyumb za kisasa na siku zote naamini maono ya mtu ndo humfanya aone kidogo kwako ni kikubwa kwake na akakifanya hata kikawa kikubwa machoni pako.
TUSIDHARAU BOOM ILA TUJITHATHMINI MATUMIZI YETU TUWAPO CHUONI
Ok!tuseme uliyoyasema ni ukweli,kwa hyo kwa pesa hyo uliyobak nayo unaweza au ungeweza jenga apartment?
 
Mmmh...!!! Nyieee kwa Boom gan atoe mchanganuo kwanza na hiy apartment ya alitumia shs ngap kujenga

Maybe kama alikua ana 100% kwao walikua wakishua hapo fresh

Ila Kama boom Hilo Hilo ulipie ada, Kodi, uvae, ule, bad familia inaangalia hapo hapo huwez fanya chochote naomba nikazie huwezi fanya chochote
[emoji16][emoji16] umeomba ukazie sio..
 
Huyo ni Muongo tu,Kwanza kipindi hicho boom 2500 TSH.kwa siku na wakitoa ya siku 60 x 60.Unajengaje hapo.Kuna jamaa yetu yeye alikuwa tayari ana nyumba ya vyumba viwili na Banda la chekechea,aliishi kwa taabu sana mpaka runamaliza chuo hali yake ilikuwa bado vile vile.Huyo rafiki yake jamaa yetu alikuwa na kipato kingine am alikuwa anapewa pesa kwao na siyo kutegemea boom.
 
View attachment 2180867

Mtangazaji maarufu hapa nchini Daniel kijo amesema kuwa boom la chuo likitumika vizuri linaweza leta mafanikio makubwa sana tena sana kwa wanafunzi tofauti na watu wanavyo fikiri!

Amesema yeye alipokuwa chuo alikuwa anatumia hela ya boom kula bata na kununua TV lakini kuna rafiki yake wakaribu ambaye yeye alikuwa ana jibana sana baada ya muda alikwenda kuwaonesha Apartments alizojenga kwa hela ya boom!

Angalizo!

Je wanachuo kwanini mlishindwa kujenga aprtments kama rafiki yake Daniel Kijo?

Ni kweli hela ya boom inaweza jenga apartments hata kijinini kabisa?
basi mwemyewe anajiona ni bonge la motivational speaker.
 
nilikuwa mwalimu nalipwa laki 2 .nikajibana miaka mitatu sasa na scania 7.

haya mambo kuna mengine yasikia ukitaka kuchunguza ndio utaelewa kuwa humu duniani sio kila mtu anatembelea miguu,wengine wanaruka sarakasi
 
Huwezi kujenga apartment kwa hela ya boom hata siku mbili, Mimi binafsi ile hela niliiona ilikua haitoshi, 5000/- kwa siku
 
Tungepata mchanganuo walau ni appartment za aina gani, ngapi? Hakukuwa na booster ya external income….

Inspareshono speaker mtaatuua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kwani tofali moja Tsh ngapi ?

Boom inajenga kabisa,nimesoma pia chuo wadada na wana wanatumia mi simu ya bei na kununua ma vitu ya ajabu ajabu tu kwa boom

so inawezekana kabisa kwa baadhi ya watu kujenga kwa pesa ya boom hasa wale wanaotoka familia za kipato cha kati.unakuta hategemei hilo boom kuishi

Umegusia wadada wa chuo wengi wan external booster ya funds , masponsor, wazazi, ma bae booo ….
 
Hakuwa mwanafunzi tu huyo , alikua katokea kazini .
 
Yuko sahihi sana japo mnamshambulia na kumkejeli maana hela ile ya boom kwa matumizi ni ndogo sana ila ukijibana ukaitunza nusu kwa semister 2(2Γ—2) halafu ukawekeza pazuri na kujumlisha hela TP 600,000/=kwa tuliosoma Bead ni hela kubwa na kwa wale tuliotoka familia maskini na tuliokuwa tunauchukia umaskini ilituokoa.
Mimi nilipewa mkopo 78% kati ya ada 1,000,000/= nilikuwa nalipa 220,000/= na kwa muda ule {2013-2015} tulikuwa tunapata 450,000Γ—2 kwa semister na ukiongeza semister ya pili 450,000Γ—2 ina maana kwa mwaka wa masomo ni 1,800,000/= hapo tunapewa stationary 200,000/= na TP 600,000/=ambapo tulikuwa tunatafuta shule zinazotoa accomodations
Kwa mwaka mmoja wa masomo nilikuwa nanunua ng`ombe 6 wenye thamani ya 150,000/= kila mmoja na mpaka naingia 2015-2016 ambapo boom lilipanda na kufikia 520,000x4 kwa mwaka wa masomo (2,080,000) tayari nilikuwa na ng'ombe 12 na mwaka wa mwisho nilipamba kutunza hela keshi ambapo nilipata 1,100,000/= ambayo nilipanga nianzie mtaji punde nitakapoingia mtaani
na nipiweza kufanikisha hilo
NILIWEZAJE KUFANYA HIVYO NIKIWA CHUO?
Kwenye miaka yangu yote mitatu niliyokaa chuoni (Udsm) niliishi mabibo hostel ambapo tulikuwa tunashea chumba na wenzangu ambapo gharama ni nafuu lakini pia nilikuwa napiga shuttle pori daily labda itokee dharura ya mvua na kuhusu chakula bajeti yangu ilikuwa ina range 1,800-2,000 ambapo bajeti ya chai niliitoa kabisa maana kwetu sikuwahi kuiona na nilizoea kula mchana tu,hivyo mchana nilikuwa nakula RB mwanzo ilikuwa 600 baadaye ikapanda ikawa 800 na jioni nilikuwa nakula ugali mboga mboga au dagaa ilikuwa 1,000 mtaani (mama kifusi waliokaa mabibo hostel wanamjua).Kwa mfumo kiukweli niliweza kuishi japo ni maisha ya shida chuoni ila huwa nakaa najipiga kifua na kujisemea isingelikuwa CHUO nisingelikuwa naishi maisha haya ya leo.
NILIFANYA NINI BAADA YA CHUO?
Niliingia mtaani bahati nzuri nikaajiriwa kampuni binafsi sep 2016 nikafanya kwa muda wa miezi 6 nikapata uzoefu na nikaona ile kazi naweza kuifanya mwenyewe japo kwa mtaji niliokuwa nao, nilikuwa nilikuwa nalipwa 300,000/= kwa miezi hio linikusanya 700,000/= nikauza wale ng'ombe wangu 10 ambapo nilipata 4,800,000 na nikajumlisha ile akiba ya mwaka wa mwisho japo nilikuwa nimeitumia imebaki 800,000/= ukawa mtaji wangu nikaanza rasmi biashara yangu mwenyewe May 2017.
Kiukweli kwa sasa najiendesha vizuri na sijawahi kupata wazo la kuomba ajira serikalini na kile nachopata kimenipa heshima katika jamii na hata nyumbani kwetu nilishabadilisha maisha ya wazazi kutoka nyumba za nyasi kwenda nyumb za kisasa na siku zote naamini maono ya mtu ndo humfanya aone kidogo kwako ni kikubwa kwake na akakifanya hata kikawa kikubwa machoni pako.
TUSIDHARAU BOOM ILA TUJITHATHMINI MATUMIZI YETU TUWAPO CHUONI
Kadanganye watoto wenzio!
 
Back
Top Bottom